Julius Kaisari
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,176
- 677
Ni hakika. Lakini hawa washenzi wamekuwa wasumbufu mno aiseee! lakini kwa moto na momentum tuliyonayo lazima tuwanyoe.Ndio lakini kabla ya mwaka kugeuka kuna game ya kirafiki na AC Milan itakayochezwa Dubai jumanne, tarehe 30/12/2014. Na tarehe 4/1/2015 kuna mechi nyingine ngumu sana ya la liga na Valencia, kisha ndio tukutane na Atletico january 7.
Game na Atletico ni nyumbani kwao Estadio Vecente Calderon, lakini baada ya mechi hizo mbili, kikoso kitakua kishakuwa sawa kuanza mwaka.
Ni hakika. Lakini hawa washenzi wamekuwa wasumbufu mno aiseee! lakini kwa moto na momentum tuliyonayo lazima tuwanyoe.
Hala madrid!
Salamander wamem"piga" mtu hao hawajapigwa.....Au umepitiwa?
Angalia game yao ya mwisho waliyocheza San Mame, Bilbao. Wamepigwa nne kama wamesimama kwa hiyo kisaikolojia hawako sawa sasa, halafu timu yetu iko tofauti na tulivyoanza ligi sasa hivi tunatisha,lazima tuwafunge tu.
Salamander wamem"piga" mtu hao hawajapigwa.....Au umepitiwa?
Yeah, ni Madrid derby..lazima iwe na msukumo wake..kama kawaida ya Derbies zinavyokuwaga. Lakini this tym tunawanyoa mchana kweupe na tunawatoa kwenye Copa del ray...!Nimeona kaka, na hawa watu hawatakagi ubingwa wala nini, wao wanataka ushindi tu dhidi ya Real.
Yeah, ni Madrid derby..lazima iwe na msukumo wake..kama kawaida ya Derbies zinavyokuwaga. Lakini this tym tunawanyoa mchana kweupe na tunawatoa kwenye Copa del ray...!