Julius Kaisari
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,176
- 677
Ni hakika. Lakini hawa washenzi wamekuwa wasumbufu mno aiseee! lakini kwa moto na momentum tuliyonayo lazima tuwanyoe.Ndio lakini kabla ya mwaka kugeuka kuna game ya kirafiki na AC Milan itakayochezwa Dubai jumanne, tarehe 30/12/2014. Na tarehe 4/1/2015 kuna mechi nyingine ngumu sana ya la liga na Valencia, kisha ndio tukutane na Atletico january 7.
Game na Atletico ni nyumbani kwao Estadio Vecente Calderon, lakini baada ya mechi hizo mbili, kikoso kitakua kishakuwa sawa kuanza mwaka.
Hala madrid!