Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ndio lakini kabla ya mwaka kugeuka kuna game ya kirafiki na AC Milan itakayochezwa Dubai jumanne, tarehe 30/12/2014. Na tarehe 4/1/2015 kuna mechi nyingine ngumu sana ya la liga na Valencia, kisha ndio tukutane na Atletico january 7.
Game na Atletico ni nyumbani kwao Estadio Vecente Calderon, lakini baada ya mechi hizo mbili, kikoso kitakua kishakuwa sawa kuanza mwaka.
Ni hakika. Lakini hawa washenzi wamekuwa wasumbufu mno aiseee! lakini kwa moto na momentum tuliyonayo lazima tuwanyoe.
Hala madrid!
 
LigaBBVA.com - Página oficial de la mejor liga de fútbol del mundo, la liga BBVA. :: Especial Fin 2014

10885336_1028422970506682_4948096796852203164_n.jpg
 

Angalia game yao ya mwisho waliyocheza San Mame, Bilbao. Wamepigwa nne kama wamesimama kwa hiyo kisaikolojia hawako sawa sasa, halafu timu yetu iko tofauti na tulivyoanza ligi sasa hivi tunatisha,lazima tuwafunge tu.


Salamander wamem"piga" mtu hao hawajapigwa.....Au umepitiwa?
 
Last edited by a moderator:
Nimeona kaka, na hawa watu hawatakagi ubingwa wala nini, wao wanataka ushindi tu dhidi ya Real.
Yeah, ni Madrid derby..lazima iwe na msukumo wake..kama kawaida ya Derbies zinavyokuwaga. Lakini this tym tunawanyoa mchana kweupe na tunawatoa kwenye Copa del ray...!
 
Yeah, ni Madrid derby..lazima iwe na msukumo wake..kama kawaida ya Derbies zinavyokuwaga. Lakini this tym tunawanyoa mchana kweupe na tunawatoa kwenye Copa del ray...!

Wale wateja wetu miaka yote, sema basi tu siku hizi wanajifanya kukomaa. Lakini Real hawafanyi makosa tena, kama wakiweka mpira chini watakiona kilicho wakuta Portugal mwezi mei.
 
Ancelotti needs to win 30 of the next 44 (or less) matches with Real Madrid to become the quickest coach in the club's HISTORY to reach 100 wins. [Via: rmadrid_stats]
Can he do this ?
 
Last edited by a moderator:
Real Madrid Cafe in Dubai will be officially launched on December 29th. Cristiano Ronaldo, James Rodriguez, Gareth Bale, Iker Casillas, Isco & others will be present there at the opening ceremony

Portada.jpg


real-madrid.jpg


Satellite


Real-Madrid-Caf%C3%A9-2.jpg
 
Álvaro Arbeloa: "We shared a very special day with our friends from The Pandora Association in Zaragoza. What an amazing job they carry out! Many thanks!"

10675607_859577534095132_6975772621168189907_n.jpg
 
Dunga (Brazil National Team Coach): "I have voted for Cristiano Ronaldo. He deserves to win the Ballon D'or the most."
 
Cristiano Ronaldo and Karim Benzema, the best attacking duo of 2014, have scored 55 Liga goals between them which no other attacking partnership was able to match!Top scoring duos in La Liga
[Via : @UltraSurist

 
Last edited by a moderator:
January is going to be very tough (a real challenge) for us because we will face Valencia in La Liga and Atletico in Copa Del Rey's Round of 16 twice.
And the winner from Atletico vs Real Madrid and Barcelona vs Elche will face each other in the Quarter-finals of CDR.

Hope everything goes well. ‪#‎HalaMadrid‬
 
Back
Top Bottom