Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Goli la tano la Real Madrid kupitia kwa Isco.
 
Mpira umekwisha Real Madrid 5 Levante 0, hii ilikuwa kama exhibition kutoka kwa vijana wa Benabeu. Yaani raha tupu.
 
Piga mtu za saa hizi a.k.a tano...halla madrid

​Game ya leo umeiona kaka? Ilikuwa zaidi ya show. Hapo mbele kulikuwa na Ronaldo, Chicharito na bwa mdogo Isco, yaani ni burudani tosha. Usikose kuangalia game ya jumatano na Liverpool.
 
Ronaldo ana 69 EUFA goals, Ronaldo anapenda sana kuwa kwenye historia ya Real, anataka ampiku Raul ambae ana magoli 71, natumai Ronaldo anafunga goli zaidi ya mbili kesho ili awe juu zaidi ya Raul. Afu baada ya hapo ni mwendo wa magoli tuuu. Halla Madrid
 
Gareth Bale hataweza cheza dhidi ya Liverpoool ila najua tutapata ushindi mnono tu
 
Mwenye record ya hv vilabu pind vinapokutana atuwekee ili tuweze kutabir vzur maana hata historia huwa na nafasi yake kutabiri matokeo. Mara nying vilabu vikubwa vinapikutana suala la kusema club moja ipo kwenye kiwango kizur na nyngne haiko poa huwa halina nafasi kubwa ya matokeo.
 
Head to head between Real Madrid na Liverpool, google utaipata, otherwise leo hakuna siasa hapa, ni mabao tu.
 
We kwani ndo ulibebeshwa mikoba ya sheikh Yahya, naona gemu la leo droo au madrid watashinda2-1 kwani gemu la El-classico ndo wanaifikiria sana.

Mwenye record ya hv vilabu pind vinapokutana atuwekee ili tuweze kutabir vzur maana hata historia huwa na nafasi yake kutabiri matokeo. Mara nying vilabu vikubwa vinapikutana suala la kusema club moja ipo kwenye kiwango kizur na nyngne haiko poa huwa halina nafasi kubwa ya matokeo.
 
​Real Madrid imeshinda mechi saba in a row, na ushindi mnono wa mabao mengi sana. Kwa hiyo anayekuja mbele yake kumsimamisha asicheze mpira wa kubahatisha. Tusubiri burudani leo jioni hapa.
 
Ronaldo anataka weka record leo ya kuwa mfungaji mwenye magoli mengi uefa,
Real wanataja washinde ili wachukue tena kuweka record ya mara mbili mfululizo kwenye karne ya 21
 
20 players named-to play againsnt Liverpool this evening.

Carlo Ancelotti has named a squad of 20 players for matchday three of the Champions League Group Stage, a game that will be played on Wednesday in Anfield between Real Madrid and Liverpool (8:45pm CET).

REAL MADRID SQUAD:
Goalkeepers: Casillas, Keylor Navas and Pacheco.
Defenders: Varane, Pepe, Marcelo, Carvajal, Arbeloa and Nacho.
Midfielders: Khedira, Kroos, James, Modric, Isco, Illarra, Medrán and M. Llorente.
Forwards: Cristiano Ronaldo, Benzema and Chicharito.
 
Back
Top Bottom