Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #321
Huwa sikosi game ya madrid hata kama niya mchangani mkuu,tupo pamoja
Game ya kesho ni muhimu sana, ukizingati sasa hivi Real Madrid ndio wanaongoza ligi hawataki kupoteza hata game moja. Wanacheza na Rayo, na siyo timu ya kuidharau hata kidogo. Rayo inatoka pale pale Madrid, ni timu ya wahuni ukiwachezea unaaibika. Lakini kesho ni kipigo tu