Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #2,881
Cant wait to see Lucas silva playing in today's game.
Ila timu haipo vizuri mbele, pengo la james lipo dhahiri, no penetration pass zinazopigwa since aumie. Midfield lacks some creativity a bit.
I see potential kwa lucas silva.
Lucas ni muhimu sana kwa game ya leo, na pale mbele nakosa furaha kabisa, huyu Benzema sijui vipi naona unyangema umezidi siku hizi kawa superstar wa Instagram kila siku kuonyesha picha za Ferrari tu, uwanjani anapoteza pasi kitoto.
Tangu aondoke Gonzalo Higuain anaona ana uhakika wa namba, ni lazima atafutiwe sub yake ya kushindana nayo ndio atacheza mpira.