Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Villareal walikaza sana, game Ilikua tight Hii. Cr7 kafanya kila awezalo haikuwezakana kuondoka na ushindi lakini wamenipa imani ile RM ya last yr imerudi, mpira mwingi umepigwa Leo.
La liga yetu hii tuwe wapole. March 22nd el clasico barca anakufa kwao.
iHala Madrid
La liga yetu hii tuwe wapole. March 22nd el clasico barca anakufa kwao.
iHala Madrid