Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ancelotti vowed not to drop any of his front three despite their goal struggles and the Italian has been true to his word, with Gareth Bale, Cristiano Ronaldo and Karim Benzema all in the team tonight
 
Hiki kikosi cha leo nicha kukaba zaidi kuliko kushambulia,kwa hiyo kazi kubwa anayo isco.na tunategemea bale leo aache bangi zake,achangamke ili kusaidiana na isco katika maamuzi ya haraka..
 
Real Madrid enter this match as the favourites to reach the quarter-finals following a 2-0 victory in the first leg last month. May be yatokee maajabu, who knows!
 
Hiki kikosi cha leo nicha kukaba zaidi kuliko kushambulia,kwa hiyo kazi kubwa anayo isco.na tunategemea bale leo aache bangi zake,achangamke ili kusaidiana na isco katika maamuzi ya haraka..

Jinsi hii list ninavyoiona, usitegemee Bale atashuka sana, mi nafikiri mawazo yake yote yatakuwa dimbani tu, sijui!
 
PREDICTION! Real Madrid are not playing well at the moment, there is no doubt about that, but I still expect this to be a fairly comfortable game. I think Real Madrid will come through 3-0
 
We are allowing too much space for Schalke's forwards. Sloppy start to the match.
 
Isco inabidi half time asirudi. Anaicost timu na mpira wake
 
Wachezaji hawako motivated.
Cr7 anamind timu nzima. Bale hamtengenezei Cr7.
Nadhani kocha asepe tu mwisho wa msimu wake
 
Back
Top Bottom