Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Cristiano n Casillas we need you more than ever!!
Play your hearts out in New Camp tonight.

11081385_972929176065176_5407802410098934428_n.jpg

Hata kocha wako anamuwaza Messu tuu na uwanja wa mazoezi alikuwa akimuwaza Messi tuu.

Leo usiondoke. Lala kwenye hii thread nikwambie kitu baadae. Amchelewagi kusema ni easy kuliko EPL. Bao la kwanza ni Cristano Ronaldo dakika ya 9. Sio uchawi, ni football.
 
[h=1]Hala Madrid y nada mas | The song (Translated to English)[/h]
 
Last edited by a moderator:
Leo usiondoke. Lala kwenye hii thread nikwambie kitu baadae. Amchelewagi kusema ni easy kuliko EPL. Bao la kwanza ni Cristano Ronaldo dakika ya 9. Sio uchawi, ni football.

Mbona unaongea na confidence sana mkuu
 
Mbona unaongea na confidence sana mkuu

Kwasababu psycogically Barcelona chupi zimelowa halafu sasa hivi nakula Paella con vino tinto.Niko na watu flani wako Ibiza leo wameamua kufunga bar yao kabisa.
 
According to Real Madrid TV, we're playing with a 4-3-3 formation.

10347703_972972036060890_7841198871273479526_n.jpg

Naona vikosi havina mabidiliko makubwa huku wote wakicheza 4-3-3.
 
Back
Top Bottom