Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Norway coach Per-Mathias Høgmo might start Martin Ødegaard as a forward in their European Qualifier against Croatia. (via : TV2)

11079603_975746542450106_5789170225905582473_n.jpg
 
Real Madrid have put an offer of €45m on the table for PSG's midfield sensation Verratti.

- Real Madrid knows Pogba will cost alot and have lost interest in him.
hahaha bs. Since when do y'all know Uncle FloPe to give on a player he wants because of a price?? Anyway, Verratti pia fundi
 
EcoDiario | When James returns Ancelotti will have to decide who goes onto the bench because he will be starting when he's fit.
 
hahaha bs. Since when do y'all know Uncle FloPe to give on a player he wants because of a price?? Anyway, Verratti pia fundi

Pogba's agent Mino Raiola has said the midfielder will not move to Real Madrid, claiming the club "throw away" players. Jamaa haeleweki kabisa, anataka biff na Real Madrid kwa kumtumia Pogba. Yote ilianza before the beggining of this season wakati Perez alipokuwa interested na Pogba, Raiola akasema anauzwa €50 million, the boss akakataa akaenda kutoa hela nyingi kwa James. Kwahiyo sasa hivi wakasema tunamtaka Pogba Bernabéu anachofanya Raiola ni kumu-overprice ili kuwakomoa Real, huku akiwa na matumaini in January kwenye dirisha dogo Barcelona wanaweza kutoa hela.
Proffesionally haijakaa sawa, na kwa mtazamo wangu bora Pogba apige hela sasa hivi akiwa na miaka 22, asisubiri umri wa kina Falcáo.
 
Huyo Mino mshamba, anachanganya hisia binafsi na kazi. Machungu yake kwa Madrid yalianza tulivyokataa kum-sign Ibra wakati anaondoka barca. Kuna kipindi juzi kati alikuwa na interview na Marca ndo akatema sumu zote. Inaonyesha pia Madrid kuwa karibu zaidi na Jorge Mendes haimfurahishi. Akafie mbali
 
FULL-TIME: Israel 0 - 3 Wales

45'+1 Ramsey
50' Bale
77' Bale
 
Marcelo has a long journey with los blancos, usishangae akija kuwa captain after Ramos.

Kwa utaratibu wa madrid, ramos na iker wakiwa hawapo uwanjani kwa siku husika, basi kitambaa atapewa marcelo. Kwani ndiye mchezaji mwenye muda mwingi kupita wote kwa madrid ya sasa ukiwatoa iker na ramos.

Sera ya madrid kwa kapteni ni kuwa kapteni ni mchezaji aliyekaa muda mrefu bernabeu. Hii sera ndio ilimzuia mourinho asiwanyang'anye kitambaa iker na Kaka pindi wanapokuwa uwanjani, na wao wakawa ndio wachezaji wenye muda mrefu bernabeu kwa siku ya mechi husika. Kwani pale inapotokea anawatumia hao watu, na wao ndio wakawa oldest members in the squad, basi kitambaa cha ukapteni kilikuwa lazima wapewe.

Vinginevyo tusingeshangaa kapteni angepewa Arbeloa. Hahahahaaaha...!
 
Yeah mkuu, na hivi danilo anatua i see no room kwa arbeloa.

Sasa hivi tu amekuwa sub, sema alitusaidia kimtindo kipindi hiki cha majeruhi. Jamaa ni madrista damu lakini ndio hivyo, bora aende Italy ataburuza fresh, msimu ujao tunataka timu bora kuliko hii.
 
Marcelo has a long journey with los blancos, usishangae akija kuwa captain after Ramos.
Hahaha ni kweli, Marcelo ndio nahodha wa 3. Ila Mungu aepushie mbali kasiwe nahodha, uchizi umekazidi. Kuna game kalimzinguaga mchezaji wa Getafe nadhani, alikatoa mkuku wakapotelea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo. Huwa naangalia clips za mazoezi, kenyewe huwa burudani tu.
 
Madrid players are on fire this international break:

Silva- goal

Bale- 2 goals and assist

Varane- goal

Chicharito- goal

Coentrao- assist and goal

Casillas & Navas- clean sheet
 
RECORD | Toni Kroos set a new EURO 2016 Qualifiers record by having 170 touches Last Night's match. [via optaFranz]

10464203_977204322304328_771756284832711876_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom