Ok, maybe Illarra is not that good for us, ila kumlaumu yeye kwa tulipo La Liga ni too much bro. Carlo is fully responsible for everything.
Timu kubwa kama RM should not afraid to take chances, club ina mafanikio iliyonayo coz people took chances. 'No guts, no glory' the saying goes[/QUOTE
Simlaumu Illara kwa kuonyesha kiwango alichonacho, Carlo is responsable kwa kutufikisha hapa tulipo kwasababu yeye ndio aliyempa mtu 90 min wakati anaona anaboronga na tumezidiwa. Illaramendi anaweza akacheza vizuri lakini we can't take a risk kumpa derby ya kufa na kupona kama hii. Kwa kifupi kwenye firtst -leg tumekaa sana na mpira lakini huwezi kusema tulicheza vizuri wakati score sheet haisomi. Second-leg Ancelotti pamoja na kuwapanga wakina Ramos, Varane na midfielders wao, muhimu aangalie jinsi gani ya kubomoa defence ya Atleti. Asituambie tu they have the best defence in the world, you're the manager, do something. Mbona Malaga wamewapiga bao mbili juzi tu hapa, inashangaza sana.