Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #5,601
James Rodriguez is directly involved in 30 goals in his first season with Real Madrid.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Henry should stop hating, he needs focus on that pathetic team that regard him a 'legend', not Real MadridShame Chicha celebrated like that, it was Ramos's goal according to Henry's logic.
Yup! Tuna Coach aliyekariri mpira, Chicharito hata apige hatricks kuanzia leo, akirudi Benzo tunamsahau.Chicha akipewa nafasi anaonesha uhai sana kuliko Benzema, sema ndio hana bahati na makocha, Benzema akirudi hata asipofunga mechi zilizobakia bado Chicha atakuwa benchi
Yup! Tuna Coach aliyekariri mpira, Chicharito hata apige hatricks kuanzia leo, akirudi Benzo tunamsahau.
Rais hana noma. Benzo pamoja na mapungufu yake ni aina ya mchezaji tunayemuhitaji. Hata hivyo, wanaweza kucheza pamoja na wakatisha sana. Mtu amvunje tu Bale kiunoMadrid inaweza kuwa timu nzuri hata ikiachana na usajili wa bei kubwa huyu dogo ni mfungaji mzuri sana kama mkimuaminj. Benzema jina linambeba sana. Nitapenda huyu Chicha abakie Real, ila tatizo ni Raisi na Kocha
Rais hana noma. Benzo pamoja na mapungufu yake ni aina ya mchezaji tunayemuhitaji. Hata hivyo, wanaweza kucheza pamoja na wakatisha sana. Mtu amvunje tu Bale kiuno
Hahahahah.. mrudisheni mlikomtoa
Kashapata demu Madrid, pia anataka kubaki ye mwenyewe. Kashaonja mbingu, kasri la nini tena.
Watajifanya kuweka ngumu coz nao hawako vyema kule mbele, wapite hivi.
Tena usiseme kapata chica castellana, hakubali tena kurudi Mejico, hata akiambiwa asaini bure atakubali, eti sasa hivi Manchester ndio wamekumbuka bei, haha.