Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

I just want to see one of the two on the pitch tonight, Mayoral or Odegaard.
 
I hear Mayoral is the real deal, haven't watched him yet.

Borja Mayoral wanamwita la joya de la cantera, unaweza kusema dogo kazaliwa pale pale Real Madrid, manaake kaanza kucheza tangu infantil. Kitu kinachotakiwa kufanya sasa hivi acheze na gym tu Valdebebas kuongeza nguvu, then Real Madrid inachukua hela nzuri.
 
Kama ni mzuri kwanini auzwe?

Nina mpango wa ku-download games zote za Castilla msimu huu ili niwacheki nikiwa likizo. So far sijawahi kucheki hata highlights ili kuepuka spoilers.
 
Borja ana kipaji cha kuzaliwa, na vile kakuwa pale mpira ni maisha yake ya kila siku, lakini inabidi atengeneze stamina za kutosha si unajua kwenye pro watu wanavyojifua vibaya vibaya. Option ya kuuzwa kwa junior players mi naona ni bora kuliko kuwaacha wasubiri namba Bernabéu wakati umri unakimbia, chukulia mfano wa wachezaji kama Morata.
 
Hapo nakuelewa, sisi sio timu ya kutengeneza Canteranos na kuwatumia, wachache sana ndio huwa wanapata hilo zali.

Kuna chalii anaitwa Pablo 'Don Pablo' Sarabia, ana magical left foot, ila sijawahi kuelewa kwanini sio srar wa Madrid mpaka sasa. Jese pia, aling'aa sana cantera, Spain youth teams, ila saivi hata nafasi ndio mpaka alalamike na watokee kina Almeria. Kulikuwa na Pedro Mosquera, left foot ya hatari.

Kuna jamaa alikuwa anatajwa tajwa angegombea against FloPe last election, ila sijui alishindwa ku-raise hela inayotakiwa awe nayo kila mgombea ama nini sijui. The guy was said to have a passion 4 our canteranos, sikumbuki jina lake fresh. FloPe yeye anataka already made names tu.
 
Reports suggest that Perez wants to wrap up the De Gea and Veratti transfer deals as soon as Possible.
 
Hapo nakuelewa, sisi sio timu ya kutengeneza Canteranos na kuwatumia, wachache sana ndio huwa wanapata hilo zali.

Kuna chalii anaitwa Pablo 'Don Pablo' Sarabia, ana magical left foot, ila sijawahi kuelewa kwanini sio srar wa Madrid mpaka sasa. Jese pia, aling'aa sana cantera, Spain youth teams, ila saivi hata nafasi ndio mpaka alalamike na watokee kina Almeria. Kulikuwa na Pedro Mosquera, left foot ya hatari.

Kuna jamaa alikuwa anatajwa tajwa angegombea against FloPe last election, ila sijui alishindwa ku-raise hela inayotakiwa awe nayo kila mgombea ama nini sijui. The guy was said to have a passion 4 our canteranos, sikumbuki jina lake fresh. FloPe yeye anataka already made names tu.

Jese ameshindwa kuwa sub ya Benz sijui kwanini! An individual efforts lakini ameshindwa kuonyesha vitu adimu na injury ndio imemfunika kabisa. Kucheza Bernabéu ni honour, lakini mi ningekuwa mshauri wa Jese na umri alionao, ningemshauri atafute timu ambayo itamuweka kwenye first IX, mwenzake Morata kaitwa kwenye timu ya taifa yeye EURO 2016 ataiangalia kwenye TV tu. I don't blame on Florentino for that, ukitaka kuwa kiongozi bora wa Real Madrid lazima uwe na world's best team with the 1st class players. Kama huwezi kununua wachezaji bora ondoka.
 
BREAKING via Marca : The Spanish Football Federation has denied reports that FIFA informed them about possible sanctions on Real Madrid.

- The Spanish Football Federation (RFEF) also say that Real Madrid haven't been involved in any irregularities of signing minors.
 
The team meet up ahead of the Almería game

The players set off from the Santiago Bernabéu and headed towards Ciudad Real Madrid.

Real Madrid have met up ahead of today's match against Almería in the Santiago Bernabéu (8pm CEST). The players departed from the stadium and made their way to the Ciudad Real Madrid residency. They will rest there until a few hours before the La Liga matchday 34 fixture.

10956262_10150833093599953_2648412465918896491_n.jpg

11165240_10150833093674953_7872038718973717129_n.jpg

20490_10150833093759953_8009051492467145231_n.jpg

Lets wrap-'em-up fast then, and enjoy the ban just to piss-off them snitches.

  • The Spanish Football Federation wanakataa wanadai hawajawahi kusikia habari za ban yoyote kutoka FIFA, na hizi rumours zingekuwa zimetoka outside of Spain ningeamini japo kidogo, lakini Spanish media wamezitoa wapi wakati hata RFEF hawajui.

Yeah, nimeiona hiyo taarifa. Ban or not, we got enough juice to take us through.
 
Ma snitch kama Bartomeu hawafai kuongoza timu yoyote, badala ya kushughulika na habari za timu yake anataka kujifanya yeye ndio mshauri wa FIFA. Ni sawa na fans wao, wanaacha ku mind their own business kutwa kujadili Real Madrid, leo wamekuja na mpya eti Zidane hafai kuwa kocha kwasababu ana ego, anajiona ni bora kuliko Pele. Wamekosa cha kuongea kweli.
 
Hahaha hao dawa yao ni kubeba ndoo tu, acha waendeleze upuuzi wao.
 
MARCA: Odegaard's day.He could make his debut at 16 years, four months and 12 days, the youngest in Madrid's history.
 
Breaking : Real Madrid have OFFICIALY denied all the speculations about the transfer ban.
 
Back
Top Bottom