Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #5,721
I just want to see one of the two on the pitch tonight, Mayoral or Odegaard.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I hear Mayoral is the real deal, haven't watched him yet.I just want to see one of the two on the pitch tonight, Mayoral or Odegaard.
I hear Mayoral is the real deal, haven't watched him yet.
Kama ni mzuri kwanini auzwe?Borja Mayoral wanamwita la joya de la cantera, unaweza kusema dogo kazaliwa pale pale Real Madrid, manaake kaanza kucheza tangu infantil. Kitu kinachotakiwa kufanya sasa hivi acheze na gym tu Valdebebas kuongeza nguvu, then Real Madrid inachukua hela nzuri.
Kama ni mzuri kwanini auzwe?
Nina mpango wa ku-download games zote za Castilla msimu huu ili niwacheki nikiwa likizo. So far sijawahi kucheki hata highlights ili kuepuka spoilers.
Hapo nakuelewa, sisi sio timu ya kutengeneza Canteranos na kuwatumia, wachache sana ndio huwa wanapata hilo zali.Borja ana kipaji cha kuzaliwa, na vile kakuwa pale mpira ni maisha yake ya kila siku, lakini inabidi atengeneze stamina za kutosha si unajua kwenye pro watu wanavyojifua vibaya vibaya. Option ya kuuzwa kwa junior players mi naona ni bora kuliko kuwaacha wasubiri namba Bernabéu wakati umri unakimbia, chukulia mfano wa wachezaji kama Morata.
Lets wrap-'em-up fast then, and enjoy the ban just to piss-off them snitches.Reports suggest that Perez wants to wrap up the De Gea and Veratti transfer deals as soon as Possible.
Hapo nakuelewa, sisi sio timu ya kutengeneza Canteranos na kuwatumia, wachache sana ndio huwa wanapata hilo zali.
Kuna chalii anaitwa Pablo 'Don Pablo' Sarabia, ana magical left foot, ila sijawahi kuelewa kwanini sio srar wa Madrid mpaka sasa. Jese pia, aling'aa sana cantera, Spain youth teams, ila saivi hata nafasi ndio mpaka alalamike na watokee kina Almeria. Kulikuwa na Pedro Mosquera, left foot ya hatari.
Kuna jamaa alikuwa anatajwa tajwa angegombea against FloPe last election, ila sijui alishindwa ku-raise hela inayotakiwa awe nayo kila mgombea ama nini sijui. The guy was said to have a passion 4 our canteranos, sikumbuki jina lake fresh. FloPe yeye anataka already made names tu.
Lets wrap-'em-up fast then, and enjoy the ban just to piss-off them snitches.
The Spanish Football Federation wanakataa wanadai hawajawahi kusikia habari za ban yoyote kutoka FIFA, na hizi rumours zingekuwa zimetoka outside of Spain ningeamini japo kidogo, lakini Spanish media wamezitoa wapi wakati hata RFEF hawajui.
Yeah, nimeiona hiyo taarifa. Ban or not, we got enough juice to take us through.
Hahaha hao dawa yao ni kubeba ndoo tu, acha waendeleze upuuzi wao.Ma snitch kama Bartomeu hawafai kuongoza timu yoyote, badala ya kushughulika na habari za timu yake anataka kujifanya yeye ndio mshauri wa FIFA. Ni sawa na fans wao, wanaacha ku mind their own business kutwa kujadili Real Madrid, leo wamekuja na mpya eti Zidane hafai kuwa kocha kwasababu ana ego, anajiona ni bora kuliko Pele. Wamekosa cha kuongea kweli.
Let us assume wewe ni mwenye team,umeshai bank roll kwa hela nyingi na unataka return on your investment-je timu utampa Zidane au Enrique???Sasa unataka kumfananisha Zidane na Luis Enrique?
Let us assume wewe ni mwenye team,umeshai bank roll kwa hela nyingi na unataka return on your investment-je timu utampa Zidane au Enrique???