Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #6,101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ujue Ancelotti ni bata kweli, anaweza kumpanga Coentrao akakabe wakati Juve watapaki basi.
Coentrao will start tonight instead of Marcelo to secure the defense. [MARCA]
Halafu ujue Ancelotti ni bata kweli, anaweza kumpanga Coentrao akakabe wakati Juve watapaki basi.
Marca wameandika, na hii sio mara ya kwanza kusikia wiki yote hii naona huu utumbo labda kweli. Dawa ya Juve ni kuwakimbiza, na leo wanariadha wetu wote wapo lazima Marcelo acheza kuwatilia pass ndefu.
huyu Marcelo ni balaa sana.
Umerudi? Tulikukumbuka sana arif, yule mwingine wa 'Nou Camp' anaongea pumba za vijiweni sana. Karibu asee.
tukutane kwenye ile Thread uloanzisha, leo nipo kule.