Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #7,101
Low abaki ana-pick pua zake huko huko, Benitez ni Madridista na anaililia hiyo nafasi kitambo but he won't manage those heads.
Lopetegui, Zizou, Klopp, Period.
Kweli kabisa, Benitez ni lawama tu hizo na huyu Low kuna kipindi wajerumani walimchoka huyu, yaani kachukua World Cup kwasababu ya ushirikiano wa wachezaji tu.