Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #7,781
Where we''ll we accomodate him? drop james rodriguez? or benz?benching isco?
Kuna sababu za kumleta Reus Pale kwakuwa rotation ni kitu muhimu sana kwasababu Real wanacheza mechi nyingi sana per season, kwahiyo hii haiwezi kufanyika kama benchi limejaa watu wasio na self confidence. Kitu kingine ni kwamba kwenye squad kutakuwa na competition, kila mtu anajua nikicheza vibaya lazima nichome mahindi, sasa kama bench limejaa magalasa ushindani utatoka wapi?