Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Here we go with Barcelona SC.
Screenshot_2024-05-29-14-50-27-10_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
 
Kipa wenu Lunin ana mafua golini atakaa kotwaa amabye hana fitness Beki militao halafu mnataka uefa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Taylor swift akitoa burudani ya Nguvu Ndani ya Santiago bernabeu
View attachment 3004716
Hiki ndicho Perez alikuwa anatamani kukiona, kwamba siku team ikiwa haitumii Uwanja, basi utumike kwa shughuli nyingine, ila sasa ninaona majirani wameanza nongwa, wanalalamika kuwa uwanja hautumiwi kama ilivyokusudiwa, so kuna hati hati wakaanza tena kuvutana Mahakamani na club.
 
#Decimoquinta!!
Hello Madridistas, ni matumaini yangu mmeamka na mzuka mwingi, natumaini pia vijana wetu wapo poa sana tayari kwa kupambania club yetu hapo baadae usiku.
Kama kawaida game kama hizi zinakujaga na feelings tofauti tofauti owa kila mmoja wetu., mie bana kadri muda utanavyokua unaenda presha huwa inakuwa inaongezeka pia mpka dakika 30 za mchezo kipindi cha kwanza ndio huwa ninapataga ahueni, na hapo poa inategemea na team jinsi inavyocheza.
Niwatakie kila lililo jema Wakuu., Hopefully baadae tutashangilia ushindi.
#HalaMadrid!!
 
Dah!acha kabisa mdau,kwa mimi ninaona hii fainal ni kama ile ya Juve,nasema hivyo kwa sababu kubwa tatu;Njia tuliyopita hadi fainal ni ngumu na imetujenga sana,pili kwa kutundika daluga kwa Toni wakat huu wa fainal wachezaji wote na timu nzima ipo excited sana kubeba hii kitu kwa ajili yakumpa mkono wa kwaheri ulio mwema,tatu ni kuwa sisi inapokuja swala la fainal tunakuwa katika kiwango cha juu sana..nimefurahi kwa Thibo kurudi golini,angalau nitakuwa nina hakika wakutofungwa magoli yale tuliyokuwa tunafungwa katika hatua zilizopita na zaidi Thibo ana uzoefu mkubwa wa Mechi za Fainal.

Hii game tunaimaliza ndani ya dakika 90,najua Dortmund watategemea counter na vijana wao wenye kasi ila tutawapiga pini.

Hala madrid.
 
Back
Top Bottom