Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

IQ yangu wewe itakusaidia nini? Acha ubwege, banters kwenye football kitu cha kawaida.
Sawa basi, Guadiola ataifunga Real Madrid, are you happy now?
Usipandishe sukari bila sababu yoyote ,endelea kufurahia madrid yako.
 
Cancelo mtu wa maana sana anapiga kushoto na kulia bila tatizo lolote shida yake nidhamu tu

suala la nidhamu Carlo anaweza kulishughulikia, Binfasi naamini akipewa upande wa kushota halafu kuna mazingira fulani hivi akitengnezewa amabayo Kwa Carlo hatashindwa kulifanya atafanya mambo makubwa sana.
 
1717681037959.jpg
 
Hakim psg pale anshangaa Tu 😆

SIoni umuhimu wa kusajili beki ya kulia kwa msimu huu, wa forcouse zaidi na beki ya kushoto na kati, Kuondoka kwa Nacho ni pengo kubwa sana, Militao sio wa kuaminika kabisa, na Alaba ameshapoteza ubora wake.
 
Hakim psg pale anshangaa Tu 😆
Hakim na Theo wote walikuwa vijana wetu, Hakimi ndio kabisa zao letu, ila sasa hawa wote waliuzwa kwa ajili ya kuwalinda Marcelo na Carvajal kipindi kile., Theo hawezi kurudi ila Hakimi anaweza.
 
Hakim na Theo wote walikuwa vijana wetu, Hakimi ndio kabisa zao letu, ila sasa hawa wote waliuzwa kwa ajili ya kuwalinda Marcelo na Carvajal kipindi kile., Theo hawezi kurudi ila Hakimi anaweza.
Hivi mkuu mbona Perez hua mjanja sana kwenye biashara hasa kwenye kuwatoa Wachezaji Kwa mkopo au kuwauza.

Ila nashangaa Kwa Martin Odegaard ilikuaje kaenda Arsenal moja Kwa moja huku Dani Ceballos akirudi.
 
Hawa walienda na wakarudi wote, ila sasa kwa upande wa Odegaard mambo hayakuenda sawia na matarajio yake ndio akaomba kuuzwa, Perez akamuuza mazima halafu tukaenda kumchukua Camavinga.
Hata hivyo ni kwamba kijana alishindwa kufanya vyema kwenye mfumo wa Ancelloti unaohitaji kiungo kukaba, na yeye sio mkabaji mzuri, so kuuzwa kwake ilikuwa afya kwa pande zote.
 
Hivi mkuu mbona Perez hua mjanja sana kwenye biashara hasa kwenye kuwatoa Wachezaji Kwa mkopo au kuwauza.

Ila nashangaa Kwa Martin Odegaard ilikuaje kaenda Arsenal moja Kwa moja huku Dani Ceballos akirudi.

Tatizo la Odegaard alitaka kuhakikishiwa namba, sasa anahakikishiwaje namba Madrid? Alikuwa na papara, angekubali kutulia angekuwa tayari ana medali ya Champion League
 
Back
Top Bottom