Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

kuna hawa vijana gen Z wanaojifanya ni washabiki wa Real Madrid ni vijana wa ovyo sana, toka majuzi nimewakuta twitter wanamshambulia Carlo kwa matusi mazitomazito kuwa hafai, wanataka Tchou na Rodrygo wawekwe bench. wengine wanalilia wanataka Alonso.
kama nakutana nao uso na macho kama hao naweza mzaba hata makofi mawili matatu
 
Huwezi kumuweka T chou bench ata siku moja yeye ndio mtu pekee ni pure holding ukimuweka benchi defensive line itanyumba sana nazani changamoto kubwa Kwa huu mwanzo mwa msimu timu imekosa balance kabisa hasa katika eneo la mbele nimecheki juzi mechi ya la Liga Mbappe amekuja kuvunja structure yote ya timu kocha anataka timu icheze sana kupitia yeye Vin ametengeneza nafasi nyingi sana Kwa Mbappe lakini hakuzitumia kabisa naona bado ana struggle kucheza Ile position ila Rodyrdo na vini combination Yao ilikua imekaa sawa ata Goli alifungua Rodrygo ule mpira ulitoka Kwa Vin na pia tumekosa mtu wa kuziba nafasi ya Toni kroos maana yeye ndio alikua anamua timu icheze Kwa Namna gani
 
tatizo kuu la timu ni kukosekana kwa Toni, midfield zilizokuwepo haziweza kucheza na ku control tempo ya game, kuna kila dalili za Modric kurudi kwenye eleven. Kumueka bench Valverde ni nearly impossible, kumueka bench Tchou itaikost sana timu kwenye defense, juzi alipotoka jamaa walipata chance nyingi sana kwa mkupuo. Option sahihi ni either Belingham au Rodrygo mmoja awe sacrificed. Na suala la Mbappe kuadopt ni obivially ni ishu ya mda, kucheza out conftamble position with new players itahitaji mda kidogo kuchanganya.
 
😅
 
Attachments

  • FB_IMG_1724480674550.jpg
    FB_IMG_1724480674550.jpg
    52.3 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1724480665288.jpg
    FB_IMG_1724480665288.jpg
    49.1 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1724480656990.jpg
    FB_IMG_1724480656990.jpg
    50.8 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1724480650819.jpg
    FB_IMG_1724480650819.jpg
    67.8 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1724480643152.jpg
    FB_IMG_1724480643152.jpg
    41.1 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1724480633620.jpg
    FB_IMG_1724480633620.jpg
    49 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1724480623981.jpg
    FB_IMG_1724480623981.jpg
    60.3 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1724480616979.jpg
    FB_IMG_1724480616979.jpg
    48.4 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1724480608908.jpg
    FB_IMG_1724480608908.jpg
    52 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1724480598483.jpg
    FB_IMG_1724480598483.jpg
    53.5 KB · Views: 4
Bado team inajitafuta sana., bado haieleweki, nilidhani kuwa Arda Guler angecheza juu ya Valverde na Tchouameni, ila na yeye ninaona anatokea sana pembeni, ni afdhali Brahim angeanza kisha Rodrygo akacheza chini ya Washambuliaji ana angecheza Dani Ceballos.
 
Embu ngoja tuone maana match ya pili hii tunaona mauza uza bado team haijasimama. Wakati sio team mpya sana.
 
Tupo uwanjani leo.

Mechi zetu zinasubiriwa kwa hamu sana hasa na maadui zetu.

Furaha yao tuteleze ndio wacheke.
 
Attachments

  • FB_IMG_1724936698421.jpg
    FB_IMG_1724936698421.jpg
    39.3 KB · Views: 5
Back
Top Bottom