Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Afu timu ambazo zinakuja kuwafunga hao wakamiaji ni za kawaida sana,we tulia uone game ijayo Stuttgart atakavyokalishwa

Mkuu kuna msimu tulipigwa na timu ya kuitwa Sherif, sujui ya wapi ile! Kwanza timu yoyote ikipangwa na Real Madrid, iwe Champions league au Copa del Rey wachezaji wanashangilia. Ile kucheza ndani ya Santiago Bernabeu ni historia, ndio maana wanachukua selfies kama wapo kwenye fiesta. Ndio maana kuchukua makombe timu yetu inatakiwa iwe na kikosi cha wachezaji, sio first eleven kama Yanga
 
Kikosi kipana

Leo Carlo anainhina hivi.

Mendy, Rudiger na vin wameanza bench ila kikosi bado kizuri.
 

Attachments

  • FB_IMG_1726940671745.jpg
    FB_IMG_1726940671745.jpg
    84.8 KB · Views: 5
Jana kwa mara ya kwanza msimu huu nimeona timu imeanza kuwa serious naona kunadogo mpya ambae ni tishio sana Endrick aisee ni kama yule wa Barca(New superstar). Akitunzwa hakika watakula matunda yake.
 
Jana kwa mara ya kwanza msimu huu nimeona timu imeanza kuwa serious naona kunadogo mpya ambae ni tishio sana Endrick aisee ni kama yule wa Barca(New superstar). Akitunzwa hakika watakula matunda yake.
Yeah, jana vijana walijitahidi, bado hawajfikia kiwango cha kuwapongeza, ila ninaona kuna jitihada., akirudi Camavinga labda team itachukua sura mpya, ila kwasasa wanaendelea kuimarika.
Kwa Endrick, yule dogo ni mchezaji, ninaona Ancelotti anampa dakika chache ili aendelee kuozea mazingira na mchezo kwa ujumla, ila connection na wenzake uwanjani yupo vizuri.
 
El jugador mejor del mundo es vinicius junior. Baila Vini baila mas
marca-all-roads-lead-to-gold-for-vini-jr-v0-8w5rh8r5coqd1.jpeg
 
REAL MADRID VS ALVES.

Naam! Hiki ni kikosi cha Real Madrid C.F. dhidi ya Alves.

Leo jahazi linaongozwa na nahodha msaidizi mwenye kismati chake Lucas Vasquez.

Halla Madrid.
 

Attachments

  • IMG-20240924-WA0055.jpg
    IMG-20240924-WA0055.jpg
    486.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom