Superficial
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 232
- 471
Afu timu ambazo zinakuja kuwafunga hao wakamiaji ni za kawaida sana,we tulia uone game ijayo Stuttgart atakavyokalishwaKumbuka tuna majeruhi wengi bro. Afu nimegundua kitu opponents wetu wanakamia mno.