Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli Zuri limepikwa kitimu kabisa.Mbappeee
Mimi camavinga hua simuelewagi hizi turn zake.Vini anakuwaga na ujinga sometimes, yuko ndani ya box eti anaacha mpira anakuja kuongea na refa
Goli Zuri limepikwa kitimu kabisa.
namuona man sema kwa camavinga asimame caballosHii timu ndio inatakiwa kucheza na Man City Bernabéu. Unamuona Modric?
Chalii kuna muda anakuwaga na wenge la hatari, hapa amempa golikipa pasi huku anacheka!Vini anakuwaga na ujinga sometimes, yuko ndani ya box eti anaacha mpira anakuja kuongea na refa
Yaani mbappe wanampiga vipepsi refa haoni anakuja kumpa mtu kadi kisa maneno ya kuambiwa aiseeBellingham amekula umeme wa kiajabu ajabu hapa aisee., sijui hata walijibizana nini na refa
Bellingham amekula umeme wa kiajabu ajabu hapa aisee., sijui hata walijibizana nini na refa
Yeah, itabidi tuende hivyo, hakuna namnaHakuna namna hapa atoke diazi aingie ceballos
Wamejibizana na refa, na la liga wana sheria kali juu ya mazunguzo baina ya mchezaji na refa. Ni captain tu ndio anaruhusiwa ku mface refa.Hii Red card ya Bellingham sijaielewa
Camavinga hawezi kucheza no 6 ana mapepe sana mzeeCheck hiyo penalty, mpira ulishapigwa ila hivyo imewekwa kati., safari hii tunalo, halafu kule nyuma Camavinga alienda kufanya nini? Ama ndio hivyo Tchouameni na mwenzie alishapotea?