enhe!, leta maelezo juu ya World Cup 2022Hii Ligi ya msimu huu namna inavyopikwa ni kama vile kombe la dunia la 2022,ni aibu kwa kwel...sasa sijui mamlaka za soka za Spain hawajisikii aibu kwa haya yanayoendelea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
enhe!, leta maelezo juu ya World Cup 2022Hii Ligi ya msimu huu namna inavyopikwa ni kama vile kombe la dunia la 2022,ni aibu kwa kwel...sasa sijui mamlaka za soka za Spain hawajisikii aibu kwa haya yanayoendelea?
Naam
Mchezaji wa man City ambae hua namhofia sana ni De brune, afadhari hajaanza na wala hayupo kwenye kiwango kizuri kwa sasa.
Kabla jogoo hajakojoaMapemaaaa tuuu
Rodrigyo, Asencio, tchou, mbappe 🔥
Leo pep kayakanyaga
Kwani kununuliwa kwa pesa nyingi ndio kujua mpira? Labda alikuwa kidogo kapiga vyombo.Yuko wapi yule aliekuwa hapa anaongea shit eti Asencio sio beki kwasababu hajanunuliwa kwa milioni nyingi?
Yule mwamba Madridista wenzetu lakini hajui mpira kabisa
Kuna turn moja ameipiga Rodrygo, kiukweli kama huna mazoezi baada ya muda mfupi utakuwa unatibiwa misuli ya paja.,Rodrigyo, Asencio, tchou, mbappe 🔥
Leo pep kayakanyaga