Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Mzee ulipotea sanaREAL MADRIV VS ATLETICO MADRID ROUND OF 16
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee ulipotea sanaREAL MADRIV VS ATLETICO MADRID ROUND OF 16
muumeanza kanusha kauli zenu, humu mulikuwa mukigaragara mukisema ndio best player in the world. wabongo kwa kujikansha ni hatari sana
Mzee ulipotea sana
Kweli kabisa kakanimerudi kujiendeleza kidogo na password ya id yangu nilisahau kwahyo mambo ni mengi mda mchache
Kweli kabisa k
hamtembezi kabisa huu uzi shida nini au uye mpinga jude kajitoa maana naona pamepoa sanaKweli kabisa kaka
Sielewi hizi rejea zako unazitoa wapi na chuki dhidi ya Jude. Basi Jude is the worst player na atauzwa end of the season if that makes you sleep better at night.
Kati game bora kabisa kutoka kwa Real Madrid, uwanja ulipoa kabisa, maana kabla ya game mashabiki wa Bayern walikuwa na vibe la hatari., ninakumbuka Rais wa Bayern wakati huo alisema kuwa Allianz kutawaka moto siku hiyo., na Marcelo akamjibu kuwa.,Mvua itanyesha!! Kilichobaki hapo ni kumbukumbu ya kuvutia kwa Madridistas.Story time.
Sergio Ramos said:
"Before the second leg against Bayern Munich in 2014, everyone was nervous. I won’t lie to you – everyone was following the statements of Bayern’s president, and we felt like we needed a miracle to qualify at the Allianz Arena.
But Cristiano? He didn’t share our tension at all. I found him completely calm, as if we had already won the trophy. I approached him and said, ‘What’s up, Cristiano? Aren’t you afraid we might get eliminated and all this hard work would be wasted?’
He looked at me and said, ‘Sergio, I love matches like this. And you love them too.’ (smiles) ‘We will qualify and win there!’
The result? Real Madrid crushed Bayern Munich 4-0… Cristiano scored twice, and Sergio Ramos scored twice."
View attachment 3245684
Ronaldo anapenda sana ushindani na anapenda sana kushinda.Story time.

Lakini mbele ya Messi alikuwa anashindwa ,Visca El Barca ,Mesque in club,we are more than a club cooking the smallest club VARdrid😂😂hey Madada fcRonaldo anapenda sana ushindani na anapenda sana kushinda.
Nadhani hiki ndio kitu kinachomtofautisha na watu wengi.
Anapenda michezo migumu.
Kabla ya Game hii buyers walikua moto sana msimu huo.
Ila baada ya dikiaka 90 wakawa hoi
Hiki hapa nduguCesar Caspar na Raj kapool wakuu nyie nawakubali sana mbona mpaka sasa hamjaposti kikosi?.
Pole sana MkuuHawa jamaa Azam tv ni wapumbavu nimeifata ratiba yao kumbe wameniingiza chakaView attachment 3254991