Club iliwakatia tamaa kina Wesley sneider, Hakim, Alvaro morata, Martin ondegard, na hata ceballos.
Hao wote walikua hawana kitu?
Sa tukiwa tunajaji mambo kwa kufuata club kumkatia mchezaji fulani tamaa itakua kazi sasa.
Maana de brune asingekua De brune huyu kama angejali kuhusu kukatiwa tamaa na Chelsea
Hakim & Morata hawakukatiwa tamaa, na walikuwa na viwango vizuri ila havikutosheleza kuwa starters na wao hawakuwa tayari kuendelea kukaa bench. kwahiyo wenyewe ndio waliomba kuondoka.
Sneider ni suala la kisiasa, utawala wa uongozi ulibadilika ukaja mpya na mipango mipya.
De brune wa chelsea na unaemuona CIty ni watu wawili tofauti, asingeweza kufika peak uliyoiona akiwa pale Chelsea, ali develop sana akiwa Germany.
Odegard hakuwa good enough for Madrid kwa muda ule, na hakuwa na uvumilivu. na hilo ndio ambalo lipo kwa arda sasa hivi. may be baadae anaweza kuboreka ila kwa sasa amekatisha tamaa na ndio maana timu inaangalia plan b kwake.