PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Tukichukua ubingwa ndio mjue sio wa kubebwaMmeshinda kwa penalty ila mtalala na viatu leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukichukua ubingwa ndio mjue sio wa kubebwaMmeshinda kwa penalty ila mtalala na viatu leo
Penalty ya Alvarez alifunga, kwa nini wakaandika amekosa?
Mmeshinda mkuuMi nimeamua kulala nikiamka nitaangalia matokeo.
Mkuu Vincenzo Jr nilirudi kuangalia matuta,japo nilikua na wasi wasi sana.Mmeshinda mkuu
Mmeshinda mkuu hongereni sanaMkuu Vincenzo Jr nilirudi kuangalia matuta,japo nilikua na wasi wasi sana.
Broo nimesema kwa Real Madrid vini hajawahi kukosa penalties ila hii ndio ya kwanza.Angalia record zako vizuri
Mmeshinda kwa penalty ila mtalala na viatu leo
Mama yake ni MkongoAnalalamika kama watanzania asee
Penalties za Atletco Madrid jana sijaona ambayo Lunin angeishika pale.Kama itawezekana siku tunakumbana na kadhia kama ya leo ya kwenda matuta, Ancelloti afanye kama Van Gaal tu, anamwigiza Lunin kwa ajili ya hiyo kazi., maana yule dogo hawezi kukuacha kwenye penalti 4 zote.
Rais wa villareal alisema anaombea game yetu wa Jana twende dakika 120 ili ikifika zamu yao waxhezaji wawe wamechoka.Kituo kinachofuata ni Arsenal , tunaanzia kwao kisha kwetu, ila kwasasa tunarudi kwanza La liga maana na huku kuna kibarua kigumu, tupo na manyambizi wa manjano week hii, huku Barca akipepetana na Atletico., game muhimu sana hizi kwenye mbio za Ubingwa wa Ligi.
Wazungu mpira ni utamaduni wao wanajua mengi na wamewekeza kila kituIla wenzetu uelewa wao wa mpira upo juu sana, imagine Bellingham na wenzie walikuwa wanalalamika kuwa Alvarez aliugusa mpira mara mbili kabla hata VAR haijapitia ile penalti, Bongo ile ingehesabiwa bila shida yoyote., na sio ajabu usingeona mchezaji yeyote akilalamika.
Bongo 80% wachezaji hawajui sheria zote 17 za mpira na kanuni zake.Ila wenzetu uelewa wao wa mpira upo juu sana, imagine Bellingham na wenzie walikuwa wanalalamika kuwa Alvarez aliugusa mpira mara mbili kabla hata VAR haijapitia ile penalti, Bongo ile ingehesabiwa bila shida yoyote., na sio ajabu usingeona mchezaji yeyote akilalamika.