Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ila wenzetu uelewa wao wa mpira upo juu sana, imagine Bellingham na wenzie walikuwa wanalalamika kuwa Alvarez aliugusa mpira mara mbili kabla hata VAR haijapitia ile penalti, Bongo ile ingehesabiwa bila shida yoyote., na sio ajabu usingeona mchezaji yeyote akilalamika.
 
Kama itawezekana siku tunakumbana na kadhia kama ya leo ya kwenda matuta, Ancelloti afanye kama Van Gaal tu, anamwigiza Lunin kwa ajili ya hiyo kazi., maana yule dogo hawezi kukuacha kwenye penalti 4 zote.
 
Kituo kinachofuata ni Arsenal , tunaanzia kwao kisha kwetu, ila kwasasa tunarudi kwanza La liga maana na huku kuna kibarua kigumu, tupo na manyambizi wa manjano week hii, huku Barca akipepetana na Atletico., game muhimu sana hizi kwenye mbio za Ubingwa wa Ligi.
 
Rais wa villareal alisema anaombea game yetu wa Jana twende dakika 120 ili ikifika zamu yao waxhezaji wawe wamechoka.

Kwahyo game imeenda 120 na wachezaji wamechoka

inatakiwa kuwa makini Inaonekana wamepania sana
 
Ila wenzetu uelewa wao wa mpira upo juu sana, imagine Bellingham na wenzie walikuwa wanalalamika kuwa Alvarez aliugusa mpira mara mbili kabla hata VAR haijapitia ile penalti, Bongo ile ingehesabiwa bila shida yoyote., na sio ajabu usingeona mchezaji yeyote akilalamika.
Wazungu mpira ni utamaduni wao wanajua mengi na wamewekeza kila kitu
 
Ila wenzetu uelewa wao wa mpira upo juu sana, imagine Bellingham na wenzie walikuwa wanalalamika kuwa Alvarez aliugusa mpira mara mbili kabla hata VAR haijapitia ile penalti, Bongo ile ingehesabiwa bila shida yoyote., na sio ajabu usingeona mchezaji yeyote akilalamika.
Bongo 80% wachezaji hawajui sheria zote 17 za mpira na kanuni zake.

Wanazifahamu baadhi tu
 
Carlo Ancelotti: "Endrick alitakiwa kupiga penati ya mwisho (penati ya tano). Lakini pindi nilipomuangalia Endrick usoni, tuliamua kumchagua Rudiger kwa sababu Endrick alionyesha hali yakutojiamini."

Inaonekana Dogo ni fundi sana wa penalty huko mazoezini, ila mzee baada ya kumsoma machale yakamcheza akampa rudiger mzee wa butua butua.

Sometimes hauhitaji wajuzi tu ili kukupa ushindi unahitaji watu majasiri.
 
Back
Top Bottom