Edgartz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2010
- 241
- 23
98% Barc ni mabingwa,na man asipokuwa makini tutashuhudia fainali ya magoli mengi,kwa mtazamo wng kwa sasa timu yenye uwezo wa kucheza na Barc ni Arsenal
Mkuu Arsenal hawa hawa au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
98% Barc ni mabingwa,na man asipokuwa makini tutashuhudia fainali ya magoli mengi,kwa mtazamo wng kwa sasa timu yenye uwezo wa kucheza na Barc ni Arsenal
Wacha kuassume hujui na-support team gani Spain, ukitaka kujua uliza sio unakimbilia conclusion zisizo na kichwa wala miguu. Hapa tunajadili kama wapenzi wa soka ushabiki pembeni.Naona watu mna hasira za kufungwa, naenda lunch nitarudi.
Pamoja na hiyo possession Barcelona walikuwa wamefunga?, Angalia mechi zote mbili zilizopita Barca walikuwa na possession kubwa lakini goli hakuna. Wewe sijui umeanza kuwaangalia lini Barcelona lakini most of the time kwenye mechi kubwa wakibanwa basi goli lazima lipatikane pindi mchezaji wa timu pinzani anapopewa kadi nyekundu and that is a FACT!
''We had the intention to keep the game at 0-0, then bring on a striker, then a third phase with a No. 10 behind three forwards. But the ref didn't allow it.'' - Jose Mourinho
98% Barc ni mabingwa,na man asipokuwa makini tutashuhudia fainali ya magoli mengi,kwa mtazamo wng kwa sasa timu yenye uwezo wa kucheza na Barc ni Arsenal
98% Barc ni mabingwa,na man asipokuwa makini tutashuhudia fainali ya magoli mengi,kwa mtazamo wng kwa sasa timu yenye uwezo wa kucheza na Barc ni Arsenal[/QU
UBINGWA BARCA 99.9%
Mkuu Arsenal hawa hawa au?
:banplease::banplease:98% Barc ni mabingwa,na man asipokuwa makini tutashuhudia fainali ya magoli mengi,kwa mtazamo wng kwa sasa timu yenye uwezo wa kucheza na Barc ni Arsenal[/QU
UBINGWA BARCA 99.9%
98% Barc ni mabingwa,na man asipokuwa makini tutashuhudia fainali ya magoli mengi,kwa mtazamo wng kwa sasa timu yenye uwezo wa kucheza na Barc ni Arsenal
jose yupo sahihi kabisa jamaa wanabebwa sana!marefa wanawalea sana tunawaita barcelona wazee wa fitna ila kwa ninavyomfaham murnho nae ni mzee wa fitna sana ngoja tusubiri game ijayo tuone kitatokea nini!
Arsenal bwana kwa kujifariji hatujambo!kocha wetu hana mbinu za kisasa za mpira!sijui kwa nini wenger habadilishwi
mhh arsenal ndo timu ipi?ndo hii timu juzijuzi ilipigwa goli mpaka kipa akakaa kwenye nyavu anakunywa maji kujipooza...!!!
Kombe linabaki England baba.
Binafsi niliihofia Madrid Kuliko Barca.
Hili La Arsenal ndio Klabu pekee inayoweza kuifunga barca sikubaliuani nalo. Ule ushindi wa Emirates Mlibahatisha.
Sidhani kama Barca wanaweza kufungwa na Bolton katika Mchezo wa ''MUST WIN''
All in all subirini 28th May.
Mourinho nae mlalamishi kama Wenger!
''We had the intention to keep the game at 0-0, then bring on a striker, then a third phase with a No. 10 behind three forwards. But the ref didn't allow it.''
Jose Mourinho