Real Madrid v Barcelona-semifinal UEFA CHAMPIONSHIP

Real Madrid v Barcelona-semifinal UEFA CHAMPIONSHIP

let's face it. barca wanaposhinda mechi ukweli unabaki kuwa football inakuwa imetendewa haki!

sawa, let's say in principle kuwa wachezaji wa barca ni "drama queens".

lakini embu angalia mechi ya jana.... kweli timu inacheza over 60 passes mfululizo, ball possession over 70%, goal attempts almost double the opposite number bado useme timu inabebwa? gimme a break!!
 
Ulikuwa hata huoni zile pass 62 za Barca? Hata goli la pili la Messi nalo lilikuwa baya? Ama kweli kipenda roho hula nyama iliyooza...
Masa sijawahi kuona timu ambayo inaizi Barca kwa pasi na posession ingawa amewahi kufungwa na Milan,Inter,Manu,Chelsea,Rubin kazan.Baada ya ile kadi game ilishaisha,mara nyingi mkiwa pungufu kwenye michuano hii ni ngumu kushinda na kungekuwa na dakika nyingi Barca angeshinda hata goli 7
 
Masa sijawahi kuona timu ambayo inaizi Barca kwa pasi na posession ingawa amewahi kufungwa na Milan,Inter,Manu,Chelsea,Rubin kazan.Baada ya ile kadi game ilishaisha,mara nyingi mkiwa pungufu kwenye michuano hii ni ngumu kushinda na kungekuwa na dakika nyingi Barca angeshinda hata goli 7

Umejibu ipasavyo...watu wanasahau kuna utofauti mkubwa wa ball possesion na kushinda...kumiliki mpira mda mwingi si ishara ya kushinda...Waumini wenzangu wa EPL wanajua nn Arsenal huwa wanafanya as far as possesion is concerned vis a vis matokeo yao uwanjani.

BTW Tuaache kuangalia game occasional na ku over rule...soka ni chain of events.
 
'Tuache double standard' wakati huo huo unaacha kuhoji kwa nini Adebayo hakulambishwa nyekundu kwa rafu yake mbaya jana?! Au labda hukuiona mkuu. Makosa yaliyomfanya refa ampe Pepe nyekundu badala ya njano ndo hayohayo yalimfanya ampe Adebayo njano badala ya nyekundu! So, justice done!


There is no compesation rule in football
 
Mimi sijui timu unayoshabikia na silazimiki kujua,
Sasa kama hujui timu ninayoshabikia kwa nini uliandika hivi,
Naona watu mna hasira za kufungwa, naenda lunch nitarudi.
Ndio maana nikakwambia wacha kukimbilia conclusion zisizo na kichwa wala miguu ukitaka kujua uliza.

ila ninachojua kwa mshabiki yeyote wa soka akikuta timu zinacheza hata kama hajawahi kuziona akishawishika kuangalia tu hiyo mechi lazima atachagua timu mojawapo ya kushabikia na kutokana na mabandiko yako kwenye hii sredi unaonyesha kabisa ulikuwa real, hivyo jana mmepigwa ndo maana una hasira.

For the record sijawahi na sitowahi kuwashabikia Real Madrid na kama ni regular kwenye hili jukwaa kuna thread nyuma uko kuhusiana na timu tunazozipenda niliweka list ya timu ninazoshabikia Barcelona is one of them na nimeanza kuwapenda kwa sababu ya Romario (one of my favorite players). Kwenye hii thread nazungumza kama mshabiki wa mpira ndio maana kuna mtu nilimwambia vua miwani za Barcelona alafu angalia hii issue aliyoraise Mourinho.
 
'Tuache double standard' wakati huo huo unaacha kuhoji kwa nini Adebayo hakulambishwa nyekundu kwa rafu yake mbaya jana?! Au labda hukuiona mkuu. Makosa yaliyomfanya refa ampe Pepe nyekundu badala ya njano ndo hayohayo yalimfanya ampe Adebayo njano badala ya nyekundu! So, justice done!
Ebu nionyeshe post ambayo nimezungumzia kuhusiana na kadi ya Pepe, nilichouliza ni kuhusiana na wachezaji wa timu pinzani kupewa kadi nyekundu and suddenly Barcelona springs to life na wanafunga na nimekupa mifano ya mechi tatu zilizopita.

kama unataka kujadili faulo ya Adebayor na Pepe sawa lakini before that jibu swali nililouliza hapo juu.

Mkuu, mechi zote? Ikiwemo fainali ya UEFA kati ya Man U na Barca?? Kumbe man u walikuwa pungufu?
Uliangalia mechi ya nusu fainali dhidi ya Chelsea?
 
'Tuache double standard' wakati huo huo unaacha kuhoji kwa nini Adebayo hakulambishwa nyekundu kwa rafu yake mbaya jana?! Au labda hukuiona mkuu. Makosa yaliyomfanya refa ampe Pepe nyekundu badala ya njano ndo hayohayo yalimfanya ampe Adebayo njano badala ya nyekundu! So, justice done!
hakukuwa na contact yoyote. Nimeangalia in slow motion kwenye different angles.
Angalia kuanzia sekunde ya 18


Real Madrid C.F. - Official Web Site - Television images show that Pepe did not touch Alves' leg
 
Last edited by a moderator:
Real Madrid and Barcelona will both face UEFA disciplinary hearings following their ill-tempered Champions League semi-final, first leg.

UEFA announced that Madrid will answer five charges relating to the throwing of missiles, a pitch invasion, Pepe's red card, the dismissal of coach Jose Mourinho and the "inappropriate statement" given by the Portuguese manager at the post-match press conference.

Barca, who won the game 2-0 thanks to a pair of Lionel Messi strikes, will face just one charge after substitute goalkeeper Jose Pinto was shown a red card during the half-time melee.

The cases will be heard by UEFA's control and disciplinary body on Friday, May 6.

Mourinho's charge comes after he implied the Catalan club receive favourable treatment from referees and claimed Barcelona had yet to win a "clean" Champions League title under Pep Guardiola.

At the post-match press conference Mourinho, who was sent off after protesting against Pepe's red card, said: "Today it's clear that against Barcelona you have no chance.

"I don't understand why. I don't know if it's the publicity of UNICEF [the club's shirt sponsor], I don't know if it's the friendship of [Spanish football federation president Angel Maria] Villar at UEFA, where he is vice-president, I don't know if it's because they are very nice, but they have got this power. The rest of us have no chance.

"Guardiola is a fantastic coach, but he has won one Champions League which I would be ashamed to win after the scandal at Stamford Bridge and this year, if he wins it again, it will be after the scandal at the Bernabeu."

Mourinho has history with UEFA - he was banned from the touchline for two matches in 2005 for alleging then-Barcelona coach Frank Rijkaard had influenced referee Anders Frisk.

Earlier this season he was given a one-match Champions League ban after appearing to instruct Real players Xabi Alonso and Sergio Ramos to be deliberately sent off, meaning they would be free to start the last-16 knockout round without the threat of suspension.

Mourinho's latest rant stemmed from the decision of German referee Wolfgang Stark to send off Pepe for a foul on Dani Alves which effectively turned the game Barcelona's way.

The first 'scandal' Mourinho referred to was the Champions League semi-final between Barca and Chelsea in 2009, when the Catalan club progressed to the final following a controversial second leg when the London side had four penalty claims turned down.

Although Mourinho had already been charged, Barcelona later confirmed they would report the Real Madrid coach to UEFA over his comments.

"We want to stand firm when the war of words passes certain limits and we believe Mr Mourinho crossed this line," said Barca board spokesman Toni Freixa.

"We are going to present a case to UEFA's Control and Disciplinary committee against Mr Mourinho for breaking UEFA's disciplinary code.

"It's unacceptable that anyone can question our titles or our link with UNICEF.

"It isn't our intention to fan the flames but to put them out, because we believe coaches should only talk about footballing matters and not things which could incite violence."
 
There is no compesation rule in football
Mkuu unapojadili mpira mara zote soma between the lines! Hapo sijamaanisha compensation, najaribu 'kumchokoza' atafakari zaidi! Sababu anadai kuwa fair lakini analalamikia kosa moja la refa lililoiumiza Real wakati huohuo halalamikii kosa ambalo halikuiumiza Real, lakini ni kosa... Nadhani kwa shabiki mkweli asiyeegemea upande wowote, kama anajadili mapungufu ya refa atajaribu kuyazungumza yote (najua anaweza sema mengine hakuyaona!).
 
Last edited by a moderator:
hakukuwa na contact yoyote. Nimeangalia in slow motion kwenye different angles.
Angalia kuanzia sekunde ya 18


Real Madrid C.F. - Official Web Site - Television images show that Pepe did not touch Alves' leg

Ndo maana nimesema 'makosa', refa alikosea kumpa pepe nyekundu na alikosea kutompa Adebayo nyekundu! Lakini pia tukumbuke maamuzi ya refa mara nyingine yanachangiwa na engo anayokuwa. Kama pepe imebidi wengine warudi kwenye slow motion ili kupata uhakika wa kilichojiri.
 
Last edited by a moderator:
khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee I like this, refa naye anatumia slow motion video technology khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Hiyo ikianzishwa timu zitakazoathirika zinajulikana wakuu wa brown envelopes na mafioso team.

Thanks Wacha1. Labda jamaa walitaka refa awe na macho ya kinyonga ili aone kila tukio toka different angles!!
 
MADRID, Hispania
KOCHA wa Real Madrid, Jose Mourinho amelilaumu Shirikisho la Soka Barani Ulaya UEFA, marefa wake na kocha Pep Guardiola baada ya timu yake kufungwa mabao 2-0 na Barcelona katika mechi ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya, ambapo kichapo hicho kimeiweka Madrid katika hatihati ya kushindwa kuutafuta ubingwa wa Ulaya.

Katika mechi ya juzi ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya, Mourinho alishuhudia timu yake ikicheza pungufu baada ya mchezaji wake Pepe kupewa kadi nyekundu katika dakika ya 61.

Baada ya Pepe kutolewa, katika dakika 15 za mwisho Lionel Messi aliweza kufunga mabao mawili na hivyo kuiweka Barcelona katika nafasi nzuri wakati timu hizo zitakaporudiana wiki ijayo kwenye uwanja wa Camp Nou.

Akizungumzia pambano hilo Mourinho alisema njama za Barcelona na UEFA zinatakiwa zimalizwe haraka kwa sababu Barcelona inakuwa inapendelewa na waamuzi ambao wanapangwa na UEFA.

"Ni karaha kwangu mimi kuishi katika dunia hii, kila nusu fainali hali hii hutokea, kwa nini?, kwa nini Chelsea haikufika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya miaka miwili iliyopita, pia mwaka jana Inter Milan kuingia fainali ilikuwa ni miujiza, kwa nini inatokea tena katika mechi hii,"alihoji Mourinho.

Mwaka 2009 kocha Pep Guardiola aliiongoza Barcelona kuifunga Chelsea bao 1-0 kwa taabu, lakini katika mechi ya fainali ya mwaka jana Barcelona ilifungwa na Inter Milan ambayo ilikuwa ikicheza na wachezaji pungufu uwanjani kwa muda wa zaidi ya saa moja. Katika mechi ya kwanza Inter ilishinda mabao 3-1 na waliporudiana Barcelona ilishinda 1-0, hivyo Inter Kuingia fainali.

"Nashindwa kuelewa, nashindwa kujua kama Barcelona inapendelewa kwa sababu inadhamini UNICEF, au ni kwa sababu ya urafiki wao na Mwenyekiti wa Shirikisho la Soka Hispania Angel Maria ambaye ni mkuu wa kamati ya waamuzi wa FIFA na UEFA, sijui ni kwa sababu ni timu nzuri, lakini Brcelona wana nguvu ya upendeleo ya aina yake, wana nguvu ambayo timu nyingine haina,"alisema Mourinho.

Mourinho ambaye aliwahi kufanya kazi kwa miaka minne katika timu ya Barcelona akiwa kocha msaidizi katika miaka ya 90 alisema," Hauwezi kuficha kwamba hivi sasa Barcelona wanafurahia sana kwamba wanaennda kucheza fainali kwenye uwanja wa Wembley, lakini kushinda kwa staili yao kuna acha radha mbaya."

Mimi nimeshinda mataji mawili ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya na nimeshinda yote kwa timu yangu kutandaza soka uwanjani, tulishinda kwa kufanya kazi, juhudi, kutoka jasho kweli na tulipigana haswa na kufanya kazi nyingi, Josep Guardiola ni kocha mzuri, lakini anatwaa ubingwa wa Ulaya kwa kashfa iliyotokea walipocheza na Chelsea na kama ikitwaa tena ubingwa wa Ulaya kashafa itakuwa ni mechi hii dhidi ya Real Madrid.

Klabu ya Barcelona imesema timu yao ya wanasheria wanazipitia kauli zote za Mourinho kabla hawajaamua kumchukulia hatua.

Akilizungumzia pambano hilo, kiungo wa Barcelona, Xavi Hernandez alisema timu yao imezawadiwa kwa kile walichostahili kwa sababu wanashambulia sana kuliko kujilinda sana kama wanavyocheza Real Madrid.

Katika mechi ijayo ya marudiano Madrid itawakosa Pepe na Sergio Ramos kwa sababu wachezaji hao wamepewa kadi, pia kocha Jose Mourinho hatakaa kwenye benchi la ufundi.

"Nimecheza mechi tatu dhidi ya Barcelona na kila wakati tunacheza tukiwa 10, hicho ndiyo kitu siwezi kuamini, labda Pepe alicheza faulo, lakini siamini kama ile ni kadi nyekundu,"alisema Emmanuel Adebayor.
 
nakumbuka yale maumivu ya arsenal....ilvyotolewa red card kwa van persie..yale ni masihala kwakweli,na baada ya hapo kichapo kikaanza!!seriaz marefaa wananyonga sana barca ikicheza.
 
Special one anamantiki katika madai yake ni si ya kupuuza kamwe kama desturi za wazungu zilivyo
 
je wakicheza na Man U hali itakua hvhv?
nakumbuka yale maumivu ya arsenal....ilvyotolewa red card kwa van persie..yale ni masihala kwakweli,na baada ya hapo kichapo kikaanza!!seriaz marefaa wananyonga sana barca ikicheza.
 
Back
Top Bottom