Real Madrid v Barcelona-semifinal UEFA CHAMPIONSHIP

Real Madrid v Barcelona-semifinal UEFA CHAMPIONSHIP

mpira wa juzi kwanza uliboa mnoooo, mpaka pepe alipopewa red card ndipo mambo yakabadilika na barca kushinda...

Wat mourinho anaclaim, si cha kupuuza hata kidogoo
 
Mtaalam jiandae utakutana nae huyu jamaa final kazi kwako kama hakuna redcard ujue lazima penalt ipigwe kwako!!maana ndio ushindi wao unavyokwenda hawa jamaa!
mpira wa juzi kwanza uliboa mnoooo, mpaka pepe alipopewa red card ndipo mambo yakabadilika na barca kushinda...

Wat mourinho anaclaim, si cha kupuuza hata kidogoo
 
Ni kweli asemacho Mourinho, very true.
Huyu coach huwa hamung'unyi wala kupindisha maneno.
 
wenger alilalamika watu wakasema asenal hawajui mpira lakini cha ajabu uefa wakampiga fine swali kwanini barca ikicheza emirate hawashindi ila wakienda camp nou baada ya hujuma kibao utaona wameshinda ila kile ninachoona huu ndo msimu wao wa mwisho...
 
watu wameshawajua we ngoja tu watapotezwa soon hawa jamaa!na ninahisi either wana relation na wakubwa wa UEFA ila jamaa kweli wana hujuma kinoma hata sijui hizo rushwa wanazitoa saa ngapi!
wenger alilalamika watu wakasema asenal hawajui mpira lakini cha ajabu uefa wakampiga fine swali kwanini barca ikicheza emirate hawashindi ila wakienda camp nou baada ya hujuma kibao utaona wameshinda ila kile ninachoona huu ndo msimu wao wa mwisho...
 
Lakini wakuu

... ball possession ya 71% Barca na 29% ya Real Madrid... haionyeshi mwelekeo wa matokeo? alipofungwa 5-0 na Barca hao hao... haamini vijana wa Pep Gardiola wako juu...??
 
.....Kama watanzania hatuwezi kuona kwamba Real Madrid walikuwa wanapiga pasi zisizokuwa na uhakiwa matokeo yake Barca wakawa na mpira muda mrefu... basi thats a reason hatuwezi hatakuona kuwa umasikini wa watanzania uko absolutely connected na katiba ya sasa hivi..!! The same mind set!
 
.....Kama watanzania hatuwezi kuona kwamba Real Madrid walikuwa wanapiga pasi zisizokuwa na uhakika matokeo yake Barca wakawa na mpira muda mrefu... basi thats a reason hatuwezi hatakuona kuwa umasikini wa watanzania uko absolutely connected na katiba ya sasa hivi..!! The same mind set!
 
Karikenye, hatujakataa kuwa barca walijitahidi lakini sio mpira uleee tulizoea kuona sie watu wa zamani ikishafikia stage hizi za nusu fainali za kombe kubwa kama lile.. ile sio level ya kujiangusha angusha kama watoto wadogo au wa kike, na hiyo ndio ilichangia hata kwa kadi nyekundu kutolewa, pedro kila saa anaguswa kidogo anajiangusha na kusingizia kapigwa vipesi, alafu wachezaji wooote wa barca wanamzonga refa na kudai kadi, sasa huo ndio mpira kweli???

kitu timu bora chatakiwa kutoa ni mpira uvutiao, pasi nzuri, attacking game na full of footballing tactics thats what twaongelea hapa.

na kama waongelea ball possession na pasi maridadi, if mafanikio ya mpira yangekua ni kutokana na vitu hivyo basi timu kama arsenal zingekua zina makombe mengi sana, raha ya mechi si pasi tu, tactics nzuri pia zafanya mechi ivutie na kingineee raha ya mechi baoooooo yakheeee kama ulikua hujui , ambalo ndilo mourinho analalamikia baada ya kubebwa ndipo barca waliweza pata hayo mabao
 
hakukuwa na contact yoyote. Nimeangalia in slow motion kwenye different angles.
Angalia kuanzia sekunde ya 18


Real Madrid C.F. - Official Web Site - Television images show that Pepe did not touch Alves' leg



Angalia intension ya Pepe ilikuwa nini, na hapo ndio kadi nyekundu inapokuja. Angekuwa anataka kuupiga mpira kwanini alipeleka mguu kwenye mguu wa Alves ? Kumgusa au kutomgusa ni suala lingine, ila mguu ulivyonyanyuliwa haikuwa fair play. FIFA kila wakati wanakumbushia fair play na ndio maana watoto wadogo huwa wanaongoza wachezaji kuingia uwanjani. Usiongee kishabiki zaidi bali ongea kimichezo.
 
Last edited by a moderator:
Wabongo bana, kaazi kweli! Hii siyo mara ya kwanza UEFA kuchunguza michezo iliyokumbwa na temper kama wa juzi. mashabiki walirusha missiles, wachezaji na staff wa timu zote walisukumana wakati wa half-time, kulikuwa na red card mbili na kama kawaida Morinho 'alitapika' baada ya mechi! Kwa matukio hayo lzm kamati ya nidhamu UEFA ikutane na ikibidi itatoa maonyo au adhabu. Sasa kama kawaida yetu tunakomaa tu na yuko sahihi yuko sahihi! Huyuhuyu aliwahi kutoa allegations kwamba kocha aliyepita wa Barca aliongea na refa! Aliposhindwa kudhibitisha alipata kibano cha UEFA! Refa wa juzi alichemka kwa maamuzi mengi ikiwemo kutompa Adebayo wa Real kadi nyekundu, lkn hiyo haimpi Morinho haki ya kutoa shutuma kwa Barca kama alivyofanya.
 
Angalia intension ya Pepe ilikuwa nini, na hapo ndio kadi nyekundu inapokuja. Angekuwa anataka kuupiga mpira kwanini alipeleka mguu kwenye mguu wa Alves ? Kumgusa au kutomgusa ni suala lingine, ila mguu ulivyonyanyuliwa haikuwa fair play. FIFA kila wakati wanakumbushia fair play na ndio maana watoto wadogo huwa wanaongoza wachezaji kuingia uwanjani.
Usiongee kishabiki zaidi bali ongea kimichezo.
Lmfao!! Wewe nawe unakimbilia kuconclude...! Ebu rudi nyuma usime posts zangu uone argument yangu ni ipi...

Hahaah fair play ndio ina encourage wachezaji kuact kama wamepigwa vipesi, kumzonga refa ili atoe kadi etc etc?
 
Punainen, we live in a free society (unless you live china, and middle east) ambayo inalinda freedom of speech, mourinho ametoa kilichoko moyoni kwake. SAF said it best "this is the only profession you are not allowed to speak the truth".

Mechi ya juzi was a disgrace from both sides, na wore wanatakiwa waadhibiwe accordingly, ila hizi allegations za mourinho si za kupuuzia.
 
98% Barc ni mabingwa,na man asipokuwa makini tutashuhudia fainali ya magoli mengi,kwa mtazamo wng kwa sasa timu yenye uwezo wa kucheza na Barc ni Arsenal
This is how football fans behave! Second leg bado, watu wanazungumzia ubingwa! Achana na Jose mind game, RM si wajinga waende Camp Nou kusubilia kipigo, watapigana mpaka mwisho kwa vile wana uwezo huo.
 
Punainen, we live in a free society (unless you live china, and middle east) ambayo inalinda freedom of speech, mourinho ametoa kilichoko moyoni kwake. SAF said it best "this is the only profession you are not allowed to speak the truth".

Mechi ya juzi was a disgrace from both sides, na wore wanatakiwa waadhibiwe accordingly, ila hizi allegations za mourinho si za kupuuzia.
Ninavyomjua Jose:

Alipotua England kufundisha Chelsea, alifanya vizuri lakini kila mambo yalipomuwia vigumu alitupa lawama kwa marefa na FA kuwa hawamtendei haki.

Msimu wa tatu alipokosa ubingwa, akadai Man U imebebwa na waamuzi na kutwaa ubingwa, na akazitaja mechi 3 au 4 ambazo waamuzi waliisaidia Man U kushinda ili itwae ubingwa na zile ambazo Chelsea ilidhulumiwa na waamuzi ili kuisaidia Man U.

Akiwa Italia, msimu wake wa mwisho, mambo yalipokuwa magumu, hasa pale AS Roma walipo close gap, alisema hivi:"Serie A ina timu 20, na kuna makocha 2 wa kigeni (yeye na Leonardo) na katika hao 2 wageni, mmoja(Leonardo) mama yake ni Mu Italiano, kwa hiyo mimi ninabaguliwa kwa sababu ni mgeni"

Kulalamika ni sehemu ya maisha yake ya soka.
 
Real Madrid and Barcelona will both face UEFA disciplinary hearings following their ill-tempered Champions League semi-final, first leg.

UEFA announced that Madrid will answer five charges relating to the throwing of missiles, a pitch invasion, Pepe's red card, the dismissal of coach Jose Mourinho and the "inappropriate statement" given by the Portuguese manager at the post-match press conference.

Barca, who won the game 2-0 thanks to a pair of Lionel Messi strikes, will face just one charge after substitute goalkeeper Jose Pinto was shown a red card during the half-time melee.

The cases will be heard by UEFA's control and disciplinary body on Friday, May 6.

Mourinho's charge comes after he implied the Catalan club receive favourable treatment from referees and claimed Barcelona had yet to win a "clean" Champions League title under Pep Guardiola.

At the post-match press conference Mourinho, who was sent off after protesting against Pepe's red card, said: "Today it's clear that against Barcelona you have no chance.

"I don't understand why. I don't know if it's the publicity of UNICEF [the club's shirt sponsor], I don't know if it's the friendship of [Spanish football federation president Angel Maria] Villar at UEFA, where he is vice-president, I don't know if it's because they are very nice, but they have got this power. The rest of us have no chance.

"Guardiola is a fantastic coach, but he has won one Champions League which I would be ashamed to win after the scandal at Stamford Bridge and this year, if he wins it again, it will be after the scandal at the Bernabeu."

Mourinho has history with UEFA - he was banned from the touchline for two matches in 2005 for alleging then-Barcelona coach Frank Rijkaard had influenced referee Anders Frisk.

Earlier this season he was given a one-match Champions League ban after appearing to instruct Real players Xabi Alonso and Sergio Ramos to be deliberately sent off, meaning they would be free to start the last-16 knockout round without the threat of suspension.

Mourinho's latest rant stemmed from the decision of German referee Wolfgang Stark to send off Pepe for a foul on Dani Alves which effectively turned the game Barcelona's way.

The first 'scandal' Mourinho referred to was the Champions League semi-final between Barca and Chelsea in 2009, when the Catalan club progressed to the final following a controversial second leg when the London side had four penalty claims turned down.

Although Mourinho had already been charged, Barcelona later confirmed they would report the Real Madrid coach to UEFA over his comments.

"We want to stand firm when the war of words passes certain limits and we believe Mr Mourinho crossed this line," said Barca board spokesman Toni Freixa.

"We are going to present a case to UEFA's Control and Disciplinary committee against Mr Mourinho for breaking UEFA's disciplinary code.

"It's unacceptable that anyone can question our titles or our link with UNICEF.

"It isn't our intention to fan the flames but to put them out, because we believe coaches should only talk about footballing matters and not things which could incite violence."

Mourinho didn’t win his Champions League trophies just with “hard word, pride, effort and sweat” - he also received some favourable refereeing decisions (and fortune) along the way. In the 2003-04 edition, his Porto side were on the verge of elimination during their second round tie with Manchester United. Ahead 1-0 in the second-leg at Old Trafford, the dominant English champions had a Paul Scholes goal scandalously disallowed for a non-existent offside decision. This meant that a last-minute strike from Costinha, following a shocking goalkeeper error by Tim Howard, put Porto through 3-2 on aggregate. Mourinho didn’t complain, instead he raced down the touchline for his famous celebration.

In the 1-0 semi-final victory over Deportivo, Jose also benefited from outrageous refereeing. In the first-leg in Portugal, which finished 0-0, one of Depor’s star players Jorge Andrade was sent off for playfully kicking at former team-mate Deco. The pair unsuccessfully remonstrated with referee Markus Merk that they were just fooling around, Andrade repeating the words: “He’s my friend, he‘s my friend”. The red card had a huge bearing on the tie. Without their rock in defence, Deportivo lost the return 1-0 at home, and Mourinho’s Porto proceeded to the final where they beat Monaco 3-0.

Fast forward six years to Mourinho’s second Champions League triumph, and once again Inter’s success was not as black and white as he'd like us to think. Granted, the Nerazzurri were deserving champions, but they had their rub of the green on the path to glory too. In the second round first leg with Chelsea at San Siro, the Londoners would have probably returned to Stamford Bridge with a 2-2 draw had referee Mejuto Gonzalez awarded Chelsea a penalty for a clear last-man trip on Salomon Kalou by Walter Samuel, which could have also potentially resulted in a red card for the Argentine.

In the classic semi-final win against Guardiola’s Barcelona, Mourinho has every right to complain about Thiago Motta’s unjust red card in the second-leg that forced Inter into a heroic rearguard action in Catalonia. But he overlooks Diego Milito’s offside third goal in Milan, which was ultimately the difference between the two sides on paper.
As for Guardiola’s supposedly “embarrassing” Champions League successes, the 2009 semi-final second-leg at Stamford Bridge between Chelsea and Barca is in danger of turning into a mythical old wives' tale with Barcelona as the evil baddie. The truth is that of the five penalty claims that were turned down by referee Tom Henning Ovrebo, only one was a penalty – the clear handball by Gerard Pique. Dani Alves’ obstruction on Florent Malouda may have been inside the area, but obstruction is only a penalty offence when really serious, and this was not. The same can be said for Eric Abidal’s slight pull of Didier Drogba’s shirt before half-time, which preceded a one-second delay before the Ivorian catapulted himself onto the floor like he’d caught the plague.

In the episode involving Drogba and Yaya Toure on 56 minutes, both were wrestling each other, and even if Kolo’s younger brother did draw back the Chelsea hitman, it was well outside the area. Finally, regarding Michael Ballack’s last-gasp appeal against Samuel Eto’o, the Cameroonian may have had his arm higher than usual, but it was clearly ball-to-hand (the very top of his arm and back), while he also had his back turned. FIFA’s ‘Laws of the Game’ at the time were crystal clear on this.

It is amusing that Mourinho conveniently overlooked the fact that Abidal was wrongly red-carded on 65 minutes for a ‘professional foul’ when Anelka had tripped over his own feet. This forced Barcelona to chase the last 25 minutes of the game with just 10 men. As a result the space opened up for Chelsea on the counter-attack, and it was only after this dismissal that the stonewall Pique penalty incident occurred. It is also peculiar how Mourinho discarded the performance of referee Wolfgang Stark (Yes, the same WOLFGANG STARK from Real Madid vs. Barcelona) in the first-leg at Camp Nou. During that game, Stark waved away an excellent Thierry Henry penalty shout, failed to send off Ballack, and also harshly booked Carles Puyol, forcing Barcelona to start a left-back at centre-back, and a centre midfielder at left-back in the second-leg.

The semi-final comparison to be drawn between Chelsea 2009 and Real Madrid 2011 is that both teams played anti-football against Barcelona. While Mourinho got his tactics spot on in the first two Clasicos of April, and Real Madrid picked their moments to attack Barca, in Clasico III the Special One was far too negative and brought the problems on himself. Pepe’s red card was undoubtedly harsh, but once again Mourinho ignores the fact that his naturalised countryman should have been sent off during the Copa del Rey final a week earlier. The big decisions in Valencia went the way of the Blancos.

Mourinho must realise that, despite his genius, he cannot win every single trophy every year. That is an impossibility and he needs to accept his rare defeats with grace. To attempt to downgrade the achievements of a Barcelona side who are probably the most exciting club side we have ever seen - and on their way to challenging the likes of Ajax 71-73, Bayern 74-76 and Milan 89-94 for the title of greatest ever club team - is truly dishonourable. To be unable to support his wild theories with facts is hypocritical and slanderous.
 
Lakini wakuu

... ball possession ya 71% Barca na 29% ya Real Madrid... haionyeshi mwelekeo wa matokeo? alipofungwa 5-0 na Barca hao hao... haamini vijana wa Pep Gardiola wako juu...??

Mkuu sio kwamba ball possesion inamaanisha jamaa walikuwa wanashambulia mwanza mwisho, jamaa walikuwa wanapasiana mpira kwenye half yao kule kule thus ikasoma vile...!
 
Back
Top Bottom