Real Madrid V Fc Barcelona, From Santiago Bernabeu Stadium 23/03/2014

Tatizo bado wanajenga timu kumzunguka Ronaldo.
Ila ukweli unabaki, madrid ndio timu bora duniani. Hawawezi wakawa kila mwaka wanachukua vikombe wao tu.
hawa barca wana maneno mengi hata ushindi wao mushikeli, hata kama refa hakuona ukweli wamebebwa.
 
Mkuu PNC 1 umeua. Hahahhhahahhahhah huu uzi sikuwa nimeuona. Dah! Jamani paulinho ni shoka kama si jembe. Hahahahahahhha
 
Reactions: PNC
Haloo!! Wakuu, Napenda kukutakieni YOTE MEMA, katiki msimu huu wa Sikukuu ya Xmass na Mwaka Mpya, 2018. MBARIKIWE DAIMA.
 
h
mi ni Madrid hata jana nilijua Barca watashinda...Madrid hawako kwenye form yao sasa hivi..huo ndio ukweli....timu iliyoko kwenye form ni PSG....hakuna timu Ulaya yenye uwezo wa kuwatoa PSG...huo ndio ukweli mchungu
hakuna cha form wala nn coz madrid anachezeaga 3-0,4-0,5-0 kwa barca wala c jambo la ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…