Real Madrid V Fc Barcelona, From Santiago Bernabeu Stadium 23/03/2014

Real Madrid V Fc Barcelona, From Santiago Bernabeu Stadium 23/03/2014

Tatizo bado wanajenga timu kumzunguka Ronaldo.
Ila ukweli unabaki, madrid ndio timu bora duniani. Hawawezi wakawa kila mwaka wanachukua vikombe wao tu.
hawa barca wana maneno mengi hata ushindi wao mushikeli, hata kama refa hakuona ukweli wamebebwa.
 
*Baada ya kuitenda miujiza sehemu tofauti duniani. Messi alitoka Camp Nou akafika mji wa Madrid. Watu wengi walijaa kumlaki mfalme huyo wa soka, atoaye ubatizo wa moto. Natazama kulikuwa na mchezaji wa Real Madrid aitwaye CR7, Naye amepata upofu wa kushindwa kuziona nyavu za timu pinzani. Alipomuoana Messi alipaza sauti.. Mesiiiiiii, mesiiiiiii nihurumie nataka kuona tena.*

*Messi alipomuona akamuhurumia akamfuata, akamwambia..Maadam umekiri mimi ndiye mfalme wako. Nakuamuru uone tena sawa sawa na imani yako. Baada ya kuona, Cr7 akamwambia Messi nitakufuata popote utakapokwenda.*

*Messi akamjibu nenda kwenye ofisi ya Frolentino perezz. Akupe nauli Urudi Ureno, ukapate kusimulia miujiza uliyokutana nayo*
Mkuu PNC 1 umeua. Hahahhhahahhahhah huu uzi sikuwa nimeuona. Dah! Jamani paulinho ni shoka kama si jembe. Hahahahahahhha
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Haloo!! Wakuu, Napenda kukutakieni YOTE MEMA, katiki msimu huu wa Sikukuu ya Xmass na Mwaka Mpya, 2018. MBARIKIWE DAIMA.
30247a886b29cfd7c652e67248523006.jpg
 
h
mi ni Madrid hata jana nilijua Barca watashinda...Madrid hawako kwenye form yao sasa hivi..huo ndio ukweli....timu iliyoko kwenye form ni PSG....hakuna timu Ulaya yenye uwezo wa kuwatoa PSG...huo ndio ukweli mchungu
hakuna cha form wala nn coz madrid anachezeaga 3-0,4-0,5-0 kwa barca wala c jambo la ajabu
 
Back
Top Bottom