laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
kufungwa inatokea bahati mbaya.....Hana mpinzani wakati nimekutajia timu iliyomfunga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kufungwa inatokea bahati mbaya.....Hana mpinzani wakati nimekutajia timu iliyomfunga?
wewe mwenyewe umejichanganya angalia uzi huu wa mwaka gan?wewe umechiz eti huyo neymar katokea wapi tena au ndio kichapo kime kuchanganya?
hawa barca wana maneno mengi hata ushindi wao mushikeli, hata kama refa hakuona ukweli wamebebwa.Tatizo bado wanajenga timu kumzunguka Ronaldo.
Ila ukweli unabaki, madrid ndio timu bora duniani. Hawawezi wakawa kila mwaka wanachukua vikombe wao tu.
Very ironic.hawa barca wana maneno mengi hata ushindi wao mushikeli, hata kama refa hakuona ukweli wamebebwa.
Mkuu PNC 1 umeua. Hahahhhahahhahhah huu uzi sikuwa nimeuona. Dah! Jamani paulinho ni shoka kama si jembe. Hahahahahahhha*Baada ya kuitenda miujiza sehemu tofauti duniani. Messi alitoka Camp Nou akafika mji wa Madrid. Watu wengi walijaa kumlaki mfalme huyo wa soka, atoaye ubatizo wa moto. Natazama kulikuwa na mchezaji wa Real Madrid aitwaye CR7, Naye amepata upofu wa kushindwa kuziona nyavu za timu pinzani. Alipomuoana Messi alipaza sauti.. Mesiiiiiii, mesiiiiiii nihurumie nataka kuona tena.*
*Messi alipomuona akamuhurumia akamfuata, akamwambia..Maadam umekiri mimi ndiye mfalme wako. Nakuamuru uone tena sawa sawa na imani yako. Baada ya kuona, Cr7 akamwambia Messi nitakufuata popote utakapokwenda.*
*Messi akamjibu nenda kwenye ofisi ya Frolentino perezz. Akupe nauli Urudi Ureno, ukapate kusimulia miujiza uliyokutana nayo*
tena kadaka kama nyandaSasa mtu kadaka mpira ulitaka refa afanyeje?
Hahahaaa kweli Mkuu, kuna mdau kakomenti huko fb kuwa "Maajabu ya Mpira Neymar Kaondoka Barca kwenda PSG lakini pengo linaonekana Madrid..."Mechi ngumu kwa Barca msimu huu ilikuwa na Atletico sio hawa marehemu
hakuna cha form wala nn coz madrid anachezeaga 3-0,4-0,5-0 kwa barca wala c jambo la ajabumi ni Madrid hata jana nilijua Barca watashinda...Madrid hawako kwenye form yao sasa hivi..huo ndio ukweli....timu iliyoko kwenye form ni PSG....hakuna timu Ulaya yenye uwezo wa kuwatoa PSG...huo ndio ukweli mchungu
Hadi 6 Sisi tunapigaga tu tena pale Santiago ni kama kwetu tuh
hakuna cha form wala nn coz madrid anachezeaga 3-0,4-0,5-0 kwa barca wala c jambo la ajabu