Second July
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 234
- 323
Mie sio fan fan wa Man u wala siichukii Barca ila Mbele ya Real Madrid napenda Real Madrid ,nachosema ligi ya la Liga raha kutizama art of football ya Barca na Real Madrid basi ok atletico Madrid ila mpaka icheze na Barca au madrid ndio watu wanatizama sasa EPL ni biashara hata timu kwenye kushuka daraja zina moto za watu kutizama. Arsena vs chelsea dunia watizamaji wengi kuliko atletico na Real Madrid au everton na liverpool bado watizamaji duniani wengi ukageuza Chelsea na united au arsenal na liverpool au united na liverpool hata Chelsea na aston villa tv views wengi kuliko Valencia na atletico la Liga raha kutizama Real Madrid na Barca sababu ya players basi na ndomana tv views dunia Real Madrid na Barca ndio inaongoza sababu ya timu hizo mbili tu. Ila Naipa heshima Barca na real Kimpira wapo dunia nyengine hakuna anayewaweza maybe bayern ila ligi ya kutizama mpira timu zote kiushindani ni EPL na Italy.wee kaa hapo tu kusema la liga haina mpango kutizama wakati dunia yote leo ilikua santiago berbeau inaonekana wee fan wa man u
Yap tuna bahat sanaHuyu Messi huyu, Barca is so lukcy to have him...
mkuu hii game imenikumbusha mengi sana na hii mechi ant messi walizidisha chuki kwa king messi.Yap tuna bahat sana
hahahaaa
Photoshop.
Refa amewabeba... Yaani nyie ni sawa na ccm, bila polisi hawajiwezi...Raha sana kuishabikia barca, you deserved to win
Ama kweli vise versa is true[HASHTAG]#Hallamadrid[/HASHTAG] 3 barca 0
Mkuu acha kuifananisha Barcelona na vitu vya kijingaRefa amewabeba... Yaani nyie ni sawa na ccm, bila polisi hawajiwezi...