Real Madrid V Fc Barcelona, From Santiago Bernabeu Stadium 23/03/2014

Real Madrid V Fc Barcelona, From Santiago Bernabeu Stadium 23/03/2014

wee kaa hapo tu kusema la liga haina mpango kutizama wakati dunia yote leo ilikua santiago berbeau inaonekana wee fan wa man u
Mie sio fan fan wa Man u wala siichukii Barca ila Mbele ya Real Madrid napenda Real Madrid ,nachosema ligi ya la Liga raha kutizama art of football ya Barca na Real Madrid basi ok atletico Madrid ila mpaka icheze na Barca au madrid ndio watu wanatizama sasa EPL ni biashara hata timu kwenye kushuka daraja zina moto za watu kutizama. Arsena vs chelsea dunia watizamaji wengi kuliko atletico na Real Madrid au everton na liverpool bado watizamaji duniani wengi ukageuza Chelsea na united au arsenal na liverpool au united na liverpool hata Chelsea na aston villa tv views wengi kuliko Valencia na atletico la Liga raha kutizama Real Madrid na Barca sababu ya players basi na ndomana tv views dunia Real Madrid na Barca ndio inaongoza sababu ya timu hizo mbili tu. Ila Naipa heshima Barca na real Kimpira wapo dunia nyengine hakuna anayewaweza maybe bayern ila ligi ya kutizama mpira timu zote kiushindani ni EPL na Italy.
 
timu ndo zimeingia uwanjani. Wanasimama dk moja kuombekeza kfo cha waziri mkuu wa zamani
 
[HASHTAG]#Halla[/HASHTAG] madrid, kama wewe ni mwana madrid shabiki wa damu tupia maoni yako. pamoja na utabili wako.......
 
288f4814aeb0c2bde1b31ddbe6b825b9.jpg
 
Back
Top Bottom