Hakuna chanel ya kibongo inayorusha Zaidi ya Dstv.hivi itarushwa live ktk chanel gani ya kibongobongo?
Kwasababu ya hako kajogoo{ mnyama ambaye wame mfananisha na jogoo} pichani katikati kwa hiyo wabongo wakaita hivoNiko Liverpool leo ..
Nje ya mada kidogo..
Kwanini Liverpool wanaitwa Vijogoo?
Okay sio mbaya holaaMadrid!!!Unakumbuka pale nimekwambia nataka kulipia sijui nilikwambia nimeshalipia lakini hakijaharibika kitu hata hivyo tar 3 ningetakiwa nilipie ni yaleyale tu
Hizi ni dharau watachukuaje mara tatu mfululizo.siipendi madrid ila kwa heshima ya laliga naomba wachukue hili kombe...
HolaaaaaaOkay sio mbaya holaaMadrid!!!
Kama anakingamuzi chenye hizi channel mbili basi ataona madrid akinyanyua kwapaHakuna chanel ya kibongo inayorusha Zaidi ya Dstv.
Kwenye nembo yao kuna jogoo angalia ile nembo ya Liverpool utaona.Niko Liverpool leo ..
Nje ya mada kidogo..
Kwanini Liverpool wanaitwa Vijogoo?
Hata mi nilijua nickname imetokana na yule ndege lakini yule ndege sio kuku labda kama ndege yeyote akiwa dume anaitwa jogoo.. Kidogo Spurs walistahili kuitwa vijogoo kama ishu ni ndege aliepo kwenye nembo yaoKwenye nembo yao kuna jogoo angalia ile nembo ya Liverpool utaona.
Aah, sanaaaWoyoooooooooo watanga huwa hatutupani
kama una link nisaidie ndg yangu nipo barabarani, nahisi nitachelewa kufika.Hakuna chanel ya kibongo inayorusha Zaidi ya Dstv.
Msaada link plsMadrid here i am.
Kama hakuna TV huwezi kupata mtandao wa 4G ku-stream mpiraAah, sanaaa
Nipen link sasa niangalie online kwetu hakuna tv wala vibanda vya mpira
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kama hakuna TV huwezi kupata mtandao wa 4G ku-stream mpira
Sawa mkuu, nitarudiUsije kupotea tu hapa baadae