Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Shem naomba uniache jamani kila mtu na team yake tuangalie mpira sasaNawe unashabikia mpira, hasa timu kama hiyo 🙁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shem naomba uniache jamani kila mtu na team yake tuangalie mpira sasaNawe unashabikia mpira, hasa timu kama hiyo 🙁
Wanaonyeshaa![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wozaaaaaaaaaaaUsiniambie wanaonyesha najuta hela yangu kulipia kule jamani khaaaa nikajua hawataonyesha
Njo Madrid ndugu yangu hutojutiaNasikitika bado nipo njia panda mpaka muda huu sielewi nielekee wapi
😀 😀 haya bana uzuri, sijakushika nguo ngoja tuonedk90Shem naomba uniache jamani kila mtu na team yake tuangalie mpira sasa
Hela yangu inaniuma sana ujue halafu huku nalipia nikahisi wanaweza kuonyeshaWanaonyeshaa![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wozaaaaaaaaaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]😀 😀 haya bana uzuri, sijakushika nguo ngoja tuonedk90
Usije kupotea tu hapa baadaeLiverpool will win, kama referee hatawabeba Madrid.
Tune ktn channel 134 or UBC channel 140AZAM KINGAMUZI NI CHANEL GANI WANAONYESHA
Daah!hyo pesa si ya mishikakii!!!sasa!Hela yangu inaniuma sana ujue halafu huku nalipia nikahisi wanaweza kuonyesha
Wanaonyesha ktn channel 134 and UBC channel 140Achana nao hao mkuu watakupa stress
AiseeeWanaonyesha ktn channel 134 and UBC channel 140
Kichwa kinaniuma niacheDaah!hyo pesa si ya mishikakii!!!sasa!
Umezinguaa dogoo!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kichwa kinaniuma niache
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniii!!Liverpool kushinda leo ni sawa na marehemu kuhudhuria msiba wake mwenyewe
Unakumbuka pale nimekwambia nataka kulipia sijui nilikwambia nimeshalipia lakini hakijaharibika kitu hata hivyo tar 3 ningetakiwa nilipie ni yaleyale tuUmezinguaa dogoo!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nakazia mkuuLiverpool kushinda leo ni sawa na marehemu kuhudhuria msiba wake mwenyewe
Woyoooooooooo watanga huwa hatutupaniNakuja ndg yangu...
Asante kwa kunivuta mkono