karibu tena JF tarehe 26 June mkuu, hakuna namna!!Wadau, mpo!
Kama Real Madrid haitaubeba ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya (EUFA) Usiku wa tarehe 26.5.2018 Jumamosi dhidi ya Liverpool,
Nitajiadhibu kwa kutoingia JamiiForums kwa mwezi mzima.
Na kama likitokea hilo, Nitawamiss sana wanaJF kwa kuwa mbali nao kwa kipindi kirefu cha mwezi mzima.
Sipendelei IG wala FB labda Twtrteh teh teh!! tusipokuona huku tunajua pakukupatia ni insta na fb hilo halipingiki mkuu. hasira zote utakwenda kuziamishia huko.
Ova.
Mpaka matokeo ya mwisho mkuu, halafu nitatoweka kama matokeo yatakwenda kinyume.Anza tu kutoka sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji467]
Kweli utanipa mkeo mkuu!?harafu utanipa namba zake
Siku 30 ni ndogo!? Jaribu kutoingia JF kwa siku 3. Halafu uone kama ni rahisi.Adhabu nyepesi kabisa hii
Usiingie JF kwa siku 3, Halafu utanipa mrejesho.Adhabu nyepesi kabisa hii
Kweli mkuu!?Liverpool anachukua UEFA mapema kabla hata jogoo hawajawika
Siku 3 huwa napitisha tu mbona bila kuingiaSiku 30 ni ndogo!? Jaribu kutoingia JF kwa siku 3. Halafu uone kama ni rahisi.
Nimeipenda hiyoMadrid asiposhinda nitaweka Majina yangu Matatu hapa na nitakuwa Verified Member.
Sema mjini DodomaKama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..
Bingwa Liverpool..
Kweli, mkuu!?Matokeo yakiwa hivi natembea uchi siku nzima
Mi mwenyewe hata kukaa dk 5 bila kuingia humu JF najihic kupungua kabisa bila shaka JF imenipa madaraka ya kulevya.Siku 30 ni ndogo!? Jaribu kutoingia JF kwa siku 3. Halafu uone kama ni rahisi.
Wadau, mpo!
Kama Real Madrid haitaubeba ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya (EUFA) Usiku wa tarehe 26.5.2018 Jumamosi dhidi ya Liverpool,
Nitajiadhibu kwa kutoingia JamiiForums kwa mwezi mzima.
Na kama likitokea hilo, Nitawamiss sana wanaJF kwa kuwa mbali nao kwa kipindi kirefu cha mwezi mzima.
Sato chukuchuku nimuachie nani?Nenda kajinyonge sasa hivi kwani Liverpool inaifunga Madrid 4 - 1. Kama hutojiua kabla ya hapo basi rudi tena Jumamosi usiku uje kuniaga rasmi, ila ujumbe ndio huo. Liverpool 4 Madrid 1.
Goodbye and goodluck
Is it really time to say goodbye!?Goodbye and goodluck
Tamu sana hiiKwa mara ya 3 mfululizo [emoji123]
Is it really time to say goodbye!?