Real Madrid wasipotwaa ubingwa nitawa-miss sana wana JF

Real Madrid wasipotwaa ubingwa nitawa-miss sana wana JF

Wadau, mpo!

Kama Real Madrid haitaubeba ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya (EUFA) Usiku wa tarehe 26.5.2018 Jumamosi dhidi ya Liverpool,

Nitajiadhibu kwa kutoingia JamiiForums kwa mwezi mzima.

Na kama likitokea hilo, Nitawamiss sana wanaJF kwa kuwa mbali nao kwa kipindi kirefu cha mwezi mzima.
karibu tena JF tarehe 26 June mkuu, hakuna namna!!
 
teh teh teh!! tusipokuona huku tunajua pakukupatia ni insta na fb hilo halipingiki mkuu. hasira zote utakwenda kuziamishia huko.
Ova.
 
Anza tu kutoka sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji467]
Mpaka matokeo ya mwisho mkuu, halafu nitatoweka kama matokeo yatakwenda kinyume.
 
Kama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..

Bingwa Liverpool..
Sema mjini Dodoma
 
Back
Top Bottom