M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
karibu tena JF tarehe 26 June mkuu, hakuna namna!!Wadau, mpo!
Kama Real Madrid haitaubeba ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya (EUFA) Usiku wa tarehe 26.5.2018 Jumamosi dhidi ya Liverpool,
Nitajiadhibu kwa kutoingia JamiiForums kwa mwezi mzima.
Na kama likitokea hilo, Nitawamiss sana wanaJF kwa kuwa mbali nao kwa kipindi kirefu cha mwezi mzima.