Real Madrid wasipotwaa ubingwa nitawa-miss sana wana JF

Mimi ninachotaka ni """Madrid awe wakwanza kupata goli, na kama Liva atapata goli wa kwanza, bhasi waDROO dakika 90"""

Au Waishie Dakika 90 0-0.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee
 
Ungeandika hautakuwepo kwa ID hii kuitumia.. bali kusoma kama kawa.. na kudonoa herufi
Sitaingia JF kabisa kwa siku 30 kama Madrid wata-lose leo. Nimeapa. Mimi huwa nasimamia ahadi au kiapo na si mtu wa kauli mbili.
 
Dani Carvajal anapokuwa nje Madrid hutwaa ubingwa wa Eufa.
Je na leo itakuwa hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…