Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
- Thread starter
- #61
Una niachia mimi, 7awa mkuu?!Madrid akishinda namuacha mke wangu
Liverpool mabingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una niachia mimi, 7awa mkuu?!Madrid akishinda namuacha mke wangu
Liverpool mabingwa
Mkuu, Umetandaza mkeka?Mimi ninachotaka ni """Madrid awe wakwanza kupata goli, na kama Liva atapata goli wa kwanza, bhasi waDROO dakika 90"""
Au Waishie Dakika 90 0-0.
HahahaahahhahahahMkuu, Umetandaza mkeka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeKama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..
Bingwa Liverpool..
Sitaingia JF kabisa kwa siku 30 kama Madrid wata-lose leo. Nimeapa. Mimi huwa nasimamia ahadi au kiapo na si mtu wa kauli mbili.Ungeandika hautakuwepo kwa ID hii kuitumia.. bali kusoma kama kawa.. na kudonoa herufi
Be prepared, just in case.