Real Madrid wasipotwaa ubingwa nitawa-miss sana wana JF

Real Madrid wasipotwaa ubingwa nitawa-miss sana wana JF

Mimi ninachotaka ni """Madrid awe wakwanza kupata goli, na kama Liva atapata goli wa kwanza, bhasi waDROO dakika 90"""

Au Waishie Dakika 90 0-0.
 
Kama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..

Bingwa Liverpool..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee
 
Ungeandika hautakuwepo kwa ID hii kuitumia.. bali kusoma kama kawa.. na kudonoa herufi
Sitaingia JF kabisa kwa siku 30 kama Madrid wata-lose leo. Nimeapa. Mimi huwa nasimamia ahadi au kiapo na si mtu wa kauli mbili.
 
Dani Carvajal anapokuwa nje Madrid hutwaa ubingwa wa Eufa.
Je na leo itakuwa hivyo?
 
Back
Top Bottom