Realmamy ahsante kwa hii dinner date. Nimeenjoy sana stori na wewe

Realmamy ahsante kwa hii dinner date. Nimeenjoy sana stori na wewe

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
realMamy . Picha bora sana hii tuliopiga ngoja niweke status.
2e5989897ba8994b96aabeb00b19a485.jpg

PSL god min -me Poor Brain achenni mazoea na mammii
 
Kila nikijaribu kuisolve hii Equation naona haibalance 😇😇

Maana naona kama vile director wa black and white leo amekorabo na wa 1440P.

Mwanaume wa carbon na mwanawake wa calcium carbonate, mko serious sana na chemistry yenu. 😂😂
 
Kila nikijaribu kuisolve hii Equation naona haibalance 😇

Maana naona kama vile director wa black and white leo amekorabo na wa 1440P.

Mwanaume wa carbon na mwanawake wa calcium carbonate, mko serious sana na chemistry yenu.

Hii ni kama Black Friday ikikutana na Valentine's Day. 😂
Hakika mkuu, nilijua akiniona anaweza kuzania ni boda boda alie mleta eli cohen kumbe ndio mimi huyo huyo.

Amefurahi lakini, anasema eti nyuzi zako huwa zinatisha yale mambo ya spirits sana
 
Back
Top Bottom