Realmamy ahsante kwa hii dinner date. Nimeenjoy sana stori na wewe

Kila nikijaribu kuisolve hii Equation naona haibalance πŸ˜‡πŸ˜‡

Maana naona kama vile director wa black and white leo amekorabo na wa 1440P.

Mwanaume wa carbon na mwanawake wa calcium carbonate, mko serious sana na chemistry yenu. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakika mkuu, nilijua akiniona anaweza kuzania ni boda boda alie mleta eli cohen kumbe ndio mimi huyo huyo.

Amefurahi lakini, anasema eti nyuzi zako huwa zinatisha yale mambo ya spirits sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…