RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

Habari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao;
1.@GENTAMYCINE
2.@FaizaFoxy
3.@Extrovert
4. Pascal Mayalla
5.@Mshana Jr
6.@Behaviourist
7.@Shimba ya Buyenze
8. Depal
9.@Dengue

Hawa WAPEWE MAUA YAO.
Tutajie wa kwako maarufu au uliowakuta, wakongwee
FaizaFoxy = Miss JF 2023/24
 
Shunie nilivyokuaga mdogo nilikua nampendaaa huyooo halafu simjui wala nini sema natamani siku nimuone hata kwa mbaliii
 
Halafu kuna "heaven sent" nae nlikua namuona ona sasa sjui ni wa zamani au najikoroga..

Ila Member maarufu kwangu kwa wakati wote ni the One and Only

"Chief Mkwawa"
 
Mambembe the unstoppable na mada zake za kuchambaa me alikua ananikoshaga sana the way alivokua anapangua koments zao

Miss Neddy

Excel Juzi nimeona komenti yako aseee Long time kitambo!
"Après un an, je suis de retour, et le sentiment est réciproque. Mon Mahonda, parmi les personnes que je connais, ils me soutiennent ici, et tu en fais partie Merci, bébé, de m'avoir rappelé,Nakupenda❤️

From Queen of King Bed😉
 
naona unachanganya ukongwe na umaarufu

Members wakongwe ni...
BAK
The boss
Nyani ngabu
Kiranga
Chief mkwawa
Pascal Mayalla na wengine.

Members maarufu sasa ndio hao uliowataja na wengineo
Miss B
 
Back
Top Bottom