Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Umeadimika sana waKwetu. I hope uko mzima.Thanks mpenzi...
Tuko pamoja ndugu yangu. 🤝
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeadimika sana waKwetu. I hope uko mzima.Thanks mpenzi...
Asante mpenziUmeadimika sana waKwetu. I hope uko mzima.
Tuko pamoja ndugu yangu. 🤝
mI NI MALILA SIYO tESHA HAHAAAAMalila kama ni wewe Aloyce Tesha nitakupigia maana namba zako za enzi za Jamii Emporwent Saccos bado zipo kwenye DB langu 😅
Nipo mamii.
Poa poa mara moja moja km hivi utukumbukeNipo mamii.
Mapambano tu bado tunapambana.
daah mnanikumbusha mbali sn nyie watuAmbiele Kiviele , Mshana Jr Ushimen Mzigua90 Miss Natafuta lara 1 JamiiForums old people Joanah Behaviourist , basi ndio hao ninao wakumbuka
Inawezekana mimi simo.Habari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao;
1.@GENTAMYCINE
2.@FaizaFoxy
3.@Extrovert
4. Pascal Mayalla
5.@Mshana Jr
6.@Behaviourist
7.@Shimba ya Buyenze
8. Depal
9.@Dengue
Hawa WAPEWE MAUA YAO.
Tutajie wa kwako maarufu au uliowakuta, wakongwee
Asante
Niko hapa jimmygatete.....lishangazi niko live hapa!!!Madam Balikuwa anafunguka kweli yule Mama.
NimekumicNiko hapa jimmygatete.....lishangazi niko live hapa!!!
MahondawHabari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao;
1.@GENTAMYCINE
2.@FaizaFoxy
3.@Extrovert
4. Pascal Mayalla
5.@Mshana Jr
6.@Behaviourist
7.@Shimba ya Buyenze
8. Depal
9.@Dengue
Hawa WAPEWE MAUA YAO.
Tutajie wa kwako maarufu au uliowakuta, wakongwee
Bujibuji Simba NyamaumeHabari wakuuu,