RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

Nimewakuta wakongwe wengi lakini the GREATEST THINKER na mstaarabu ni Mshana Jr. Tumpe maua yake!
 
Habari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao;
1.@GENTAMYCINE
2.@FaizaFoxy
3.@Extrovert
4. Pascal Mayalla
5.@Mshana Jr
6.@Behaviourist
7.@Shimba ya Buyenze
8. Depal
9.@Dengue

Hawa WAPEWE MAUA YAO.
Tutajie wa kwako maarufu au uliowakuta, wakongwee
Inawezekana mimi simo.
The world is not fair
 
Habari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao;
1.@GENTAMYCINE
2.@FaizaFoxy
3.@Extrovert
4. Pascal Mayalla
5.@Mshana Jr
6.@Behaviourist
7.@Shimba ya Buyenze
8. Depal
9.@Dengue

Hawa WAPEWE MAUA YAO.
Tutajie wa kwako maarufu au uliowakuta, wakongwee
Mahondaw
FaizaFoxy
wengine weng
 
Back
Top Bottom