Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manda ni DSO huyo. Namfahamu, kuna siku nilikuwa naponda utawala wa kikwete humu nikiwa na ID zangu za zamani nikamsikia anawaelezea watu kile nilichoandika. Siku hizi bado ni DSO huku Tanga. Alikuwaga Katavi then kapelekwa huko. Sasa ni mtu mzima.Maxence Melo
Mike Mushi
Invisible
Faridah
Paw
Asha Dii
Mzee Mwanakijiji
Balantanda
Bubu Ataka Kusema (BAK)
Mkandara
Gender Sensitive/Regia Mtema (R.I.P)
Mwafrika wa Kike
Kelly01/Binti Maringo
Nyani Ngabu
Game Theory
Fundi Mchundo
Jasusi
Lunyungu
Gaijin
Joka Kuu
YourNameIsMine
Belo
Masanilo
Mtanzania
Kuhani/Abdulhalim
Mpaka Kieleweke
Asha Abdallah
YoYo
Icadon
Hofstede
Mzalendo Halisi
Son Of Alaska
Mwikimbi
Kana Ka Nsungu
Belinda Jacob
Mbu
Msanii
MTAZAMO
Brazameni
First Lady1
Preta
Gaijin
Mfumwa
FMES (R.I.P)
Rev Kishoka
Shadow
Mwazange
Amwanga
KGM
Mkama P
PDidy
AlJuniortz
MTM/TIMING
Ab Tichaz
Manda
YE
Gembe
KiuYaJibu
Kimatire
X-PASTER
Ibrah
Mr Kiroboto
Baba Desi
Richard
Mpita Njia
Kandambilimbili
Junius
J Rated
Mphavu
Gold Addict
Ndetichia
Figganiga
Bht
Penny
Matola
The Boss
Rejao
Wacha1
Kwa uchache hawa ndio Legends wa JF ninaowakumbuka…Enzi za KUMKOMA NYANI GILADI
Ana muda haonekani humu last seen yake 2018 hukokwani yupo sijui kwakweli kama yupo hajitokeze tujue
Isijekuwa yule shetani wa Chato alilala naye mbele kama Ben Saanane?Ana muda haonekani humu last seen yake 2018 huko
Yaniii... Hivi hakuna mwenye mawasiliano nae humu atupe hata update kuwa ni mzima tusiwe na wasiwasi??Isijekuwa yule shetani wa Chato alilala naye mbele kama Ben Saanane?
MMHM KWELI AU UNATANIA MKUUIsijekuwa yule shetani wa Chato alilala naye mbele kama Ben Saanane?
Mkuu mzima, asante kwa kunikumbuka. big up mkuuMalaria Sugu, Rejao, PakaJimmy, Pasco, Malila, Mary Chuwa
Mzima sana mkuu! Yeah, nyie no wakongwe humu! Ulikuwaga ma michango mizuri sana kuhusu Kilimo. Sijui bado unaendelea na Kilimo?Mkuu mzima, asante kwa kunikumbuka. big up mkuu
Ndiyo naendelea nacho kimya kimya, namshukuru MunguMzima sana mkuu! Yeah, nyie no wakongwe humu! Ulikuwaga ma michango mizuri sana kuhusu Kilimo. Sijui bado unaendelea na Kilimo?
LAT ni mwamba sana yule jamaa halafu alikuwa ni mtu wa kupeana fursa sanaKanyagio, LAT sijui wako wapi hawa wajuba, Mzalendo uko wapi
Hee hivi kumbe nina miaka 10 huku jamviniTuliojoin 2013 tutambuane [emoji39]